CCM Arusha yapata Pigo, Mwenyekiti wake wa Mtaa afariki dunia

jembejembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
634
1,000
Chama cha Mapinduzi ccm kata ya Themi,Mkoa wa Arusha kimepata pigo kufuatika kifo cha Mwenyekiti wake wa Mtaa Polisi line, Dionis Msele aliyefariki dunia oktoba 23 mwaka huu jijini Dar es salaam.

Akitoa salamu kwa niaba ya chama cha mapinduzi katika misa maalumu ya kumwombea Marehemu iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mt. Thereza jijini Arusha,Mwenyekiti wa ccm kata hiyo,Thomasi Munisi amemweleza marehemu Msele kuwa alikuwa kiongozi mchapakazi mcha mungu aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya chama na serikali .

Katika msiba huo mzito Mamia ya wakazii mbalimbali wa eneo hilo,wanasiasa na wananchi wakiongozwa na chama cha mapinduzi walishiriki vyema Maziko ya kiongozi huyo yaliyofanyika Makabuli ya Njiro jiji hapa ,ambapo mwili huo ulisindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 50 ,pikipiki zilizokuwa zimepambwa na wafuasi wa chama cha mapinduzi wakitanguliwa na Redbridge.

[https://lh3]

Lecheminduroi

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
788
1,000
Maccm acha yafage tu tena yafiage dhambini kama huyu mwenyekiti... Ccm ni dhambi ya kutubu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom