Profesa Humphrey Moshi ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG-20181030-WA0000.jpg


Rais Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume hiyo kuanzia leo Oktoba 30, 2018

Prof. Moshi ni Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)
 
Teuwa tengua nunua wapinzani uwa ndio kazi uliyotumwa na watanzania


Swissme
 
Hongera sana prof. hv ni majina kufanana au.......... nakumbuka mheshimiwa kuna mradi haukufunguliwa pale mkwawa Kwsb kuna prof. alifanya ubadhirifu
 
Back
Top Bottom