Ahsante Tours hawawezi kuwa wazalendo wakati wanaendesha kampuni kwa ujanja ujanja huku wakiongoza kwa kukwepa kodi na biashara haramu ya kuingiza watalii kinyemela.
Kwa nini wanawaingiza...
Wanyonge wenzangu, kuna matamko mbali mbaili huwa yanatolewa na viongozi wetu kuwa huduma ya matibabu kwa watoto wa umri wa miaka mitano kwenda chini na wazee wa miaka sitini kwenda juu inatakiwa...
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kabisa kwa kulishukuru kwa dhati kabisa Gazeti la Tanzania Daima hasa la leo kwa Kujitoa Mhanga kueleza ' bayana ' kabisa nini maana ya Msemo ' unaohubiriwa '...
Habari wana JF
Hakuna sauti inayoniudhi kama za wale wadada wanaosema "mteja unayempigia simu hapatikani kwa sasa jaribu tena baadae" Chuki yangu kwa hizo sauti mara nyingi inatokana na hasira ya...
Vibarua 45 wanaofanya kazi katika Bohari Kuu ya Madawa MSD upande wa kupakua na kupakia madawa jijini Dar es salaam wameiomba Serikali iwasaidie kupata stahiki zao za mishahara pamoja na kiinua...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanri amesema wakuu wake wa Wilaya wameanzisha utaratibu maalum wa kuwakagua wageni wanaoingia mkoani humo kwa lengo la kutokomeza biashara haramu ikiwemo ya...
Habali wana jamvi
Hivi kwa mfano unamkuta mwanao anafanya hivi utachukuwa jukumu gani
Mimi binafsi ntamwacha amalize hadi mwisho kisha ntamchukuwa kwa upendo mkubwa tu.tulifika ntampa chakula au...
Napenda kuishauri serikali iweke utaratibu wa kuziweka mtandaoni faini za madereva wa magari.
Idadi kubwa ya magari yanayoendeshwa na madereva waajiriwa, kutokana na hali hii baadhi ya madereva...
Ninaomba msaada namna ya kutatua tatizo nikiweka movies kwenye flash na kutaka kuplay kupitia dvd player ya system hiyo hapo juu inaniletea hiyo error...nifanye nini ku solve tatizo?
Ni kelele nyingi za kukera na zenye mrengo wa uharibifu ambapo kila kosa afanyalo Raisi au udhaifu wowote utetezi wao et anashauriwa vibaya na washauri wake, ni nani anayewateua hawa?
Naandika...
Ni kawaida kukuta shule za sekondary za serekali kujengwa maeneo yasiyofaa na yasiyo rafiki kwa mustakbali wa elimu. Shule za serekali hasa za kata Zimezungukwa na frem za biashara ambazo wengine...
Dhana ya elimu bure ni nzuri kwa kuwa ina lengo la kumpunguzia mwananchi gharama na kuhakikisha elimu inapatikama kwa kila mtoto. Changamoto ni nyingi
Kwa kawaida shule nyingi za serikali zina...
Kwa ujumla ukitaja visambuzi bora Tanzania Azam watakuwa ni mojawapo ila wamekuwa wanajusahau kuwa wako katika ushindani na kufanya wanavyotaka !yafuatayo ni mambo yatayopelekea kuanguka kwa mauzo...
Toka kuanzishwa kwa shule za kata kumetoea pia wimbi la uanzishwaji wa shule zisizo na vigezo kama ifuatavyo;
1. Ukubwa wa eneo la ujenzi wa shule luna shule ambazo zimejengwa hadi kwenye heka 2...
Toka mradi wa dart umeanza kwa ujenzi wake kulikuwepo na changamoto nyingi zikionyesha dhahiri kuwa hakukuwa na matayarisho ya kutosha kabla ya kuanza rasmi mradi huo.
Yafuatayo ni mambo...
Kama muumini wa kanisa katoliki pale St Peters Oysterbay na Mwananyamala kuna mapungufu ambayo(at least machache ninayoyaonaga) ningependa wahusika wayaangazie macho na wayarekebishe...
Najua hii mada itakuwa na wachangiaji wachache kutokana na mahudhui yake ila ni vyema ukaweka ata neno ili wengine wajifunze kupitia wewe,
Wengi tuna majukumu kiasi kwamba ukipata hela kidogo...
Afisa Mtendaji wa kata ya Ngarenaro Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha,Brayson Nasari ameingia matatani baada ya kudaiwa kuwashambulia kwa kipigo watendaji wawili wakike wa Mitaa katika kata...