Washauri wa Rais wanachaguliwa na nani?

Washauri wa Rais wanachaguliwa na nani?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Ni kelele nyingi za kukera na zenye mrengo wa uharibifu ambapo kila kosa afanyalo Raisi au udhaifu wowote utetezi wao et anashauriwa vibaya na washauri wake, ni nani anayewateua hawa?

Naandika haya kwa kuwa Rais ana kinga ya kutokushtakiwa na hawa kama wanateuliwa na yeye ni Wazi kuwa kuna uwezekano wa Rais kuwaamrisha atakavyo akijua hawezi kushtakiwa!
 
Mkuu una apply kama kazi nyingine ila tu uwe umebobea kwenye hiyo fani
Si rais tu. hata mawaziri wanawashauri hata wewe mkuu nyumbani unamshauri au waziri mkuu aka wife
 
wanachaguliwa msikitini pale mtambani
 
Mkuu una apply kama kazi nyingine ila tu uwe umebobea kwenye hiyo fani
Si rais tu. hata mawaziri wanawashauri hata wewe mkuu nyumbani unamshauri au waziri mkuu aka wife

Hapo ndo ninapochoka kama ni hivyo kwa nn wasitimuliw kwa kumdanganya Raisi?
 
Mkuu una apply kama kazi nyingine ila tu uwe umebobea kwenye hiyo fani
Si rais tu. hata mawaziri wanawashauri hata wewe mkuu nyumbani unamshauri au waziri mkuu aka wife

Hebu niwekee tangazo moja ulilowahi kuona kazi hiyo ikitangazwa!!!!
Au hata tarehe ,namba na jina la gazeti mkuu
 
Ni kelele nyingi za kukera na zenye mrengo wa uharibifu ambapo kila kosa afanyalo Raisi au udhaifu wowote utetezi wao et anashauriwa vibaya na washauri wake, ni nani anayewateua hawa?

Naandika haya kwa kuwa Rais ana kinga ya kutokushtakiwa na hawa kama wanateuliwa na yeye ni Wazi kuwa kuna uwezekano wa Rais kuwaamrisha atakavyo akijua hawezi kushtakiwa!

Wanachaguliwa Na Yeye Mwenyewe Ni Sifa Kubwa Ni Lazima Uendane Na Akili Ya Rais Kwa Mfano Rais Akiwa Mzembe Basi Lazima Washauri Wake Nao Wawe Hivyo Hivyo and Vise Versa. Birds of the Same Feather Flock Together!
 
Niacheni nichekeeeeeeee kwanza
 
Wanachaguliwa Na Yeye Mwenyewe Ni Sifa Kubwa Ni Lazima Uendane Na Akili Ya Rais Kwa Mfano Rais Akiwa Mzembe Basi Lazima Washauri Wake Nao Wawe Hivyo Hivyo and Vise Versa. Birds of the Same Feather Flock Together!

Zuzu hawezi chagua mwerevu! Ataumbuliwa cha msingi anachaagua Zuzu mwenziwe!
 
Hebu niwekee tangazo moja ulilowahi kuona kazi hiyo ikitangazwa!!!!
Au hata tarehe ,namba na jina la gazeti mkuu

Hawatangazi kwenye magazeti. pale rais anapoingia madarakani ndio unajinadi/apply. Wewe subiri mpaka mwakani Slaa akiingia ikulu nitakustua. wewe sijui ni mtaalam wa nini mwenzangu ?
 
Ha ha haaa sawaaaaa ila sasa mi utanitafutia kufungwa bure mkuu maana kushauriwa juu ya kushauri yataka moyo mkubwa saaaanaaaa!!!!!
 
Awamu hii ya 5 kafukuza washauri wote
 
Back
Top Bottom