kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Toka kuanzishwa kwa shule za kata kumetoea pia wimbi la uanzishwaji wa shule zisizo na vigezo kama ifuatavyo;
1. Ukubwa wa eneo la ujenzi wa shule luna shule ambazo zimejengwa hadi kwenye heka 2 hivyo kufanya shule kutokuwa na maeneo ya michezo hata ya mapumziko. Serekali ingeweka vigezo vya ekari kuanzia 10 ili kupata eneo la kutosha.
2. Shule kujenga uswahilini na katikaki ya makazi hivyo kufanya wanafunzi kushindwa kusoma kutokana na kelele ngoma miziki na Fujo.MF kigoo, Tandale na Temeke.
3. Shule kuzungukwa na frem za biashara gereji na mambo ya anasa kama club na bar hivyo kumfanya mwanafunzi kupata vishawishi hivyo tutetereka kimasomo rejea habar ya chips mayai.Mfamo shule ya Benjamin W. Mkapa iliyopo Kariakoo.
Sio lazima shule zote ziwe mijini bora ziwe pembezoni au nje mji kabisa kama Pugu, minaki au malangali poa Shule nyingi za seminari zipo porini lakini ubora wa elimu uzingatiwe.
4. Mahitaji ya shule sio madarasa tu bali uwepo wa maktaba na maabara na hii kuwe na sheria inayotaka shule ipewe usajili endapo itakuwa na vigezo hivyo la sivyo iwe batili.
5.Walimu hasa kwenye shule zinazoanzishwa waangaliwe kwa jicho la tatu maana wengi hawajaosoma ualimu vyuoni na wengine ni wahitimu wa form 4 na 6 hivyo kukosa baadhi ya sifa.
N.B Tukianzia hapa tutakuwa na mwanga mzuri then mambo ya kubadili mitaala,elimu bure,yafuate.