Maoni yako muhimu

Maoni yako muhimu

dvjmac

New Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Habali wana jamvi

Hivi kwa mfano unamkuta mwanao anafanya hivi utachukuwa jukumu gani

Mimi binafsi ntamwacha amalize hadi mwisho kisha ntamchukuwa kwa upendo mkubwa tu.tulifika ntampa chakula au juice anayoipenda,kisha ntaanza kumweleza kwa upendo kuwa analikipaji kikibwa sana na nimefurahi kugundua ilo,ila ntamueleza kuwa hakuna kitu muhimu kama shule sawa anakipaji ila akikazana na shule atamuwa unstopable.so nitamkataza kufanya nilichomkuta anafanya ila kama atapenda kuona baba yake afuraha bas akazane na shule na pia kama akifaulu vizuli nta mnunulia radio mpya kwa ajili ya mazoezi yake ya dance.

Je vipi ww maoni yako mwana jf kama ndio mtoto wako sasa

Nawasilisha .View attachment Instagram media - Bpi_EoIB6s5 ( 937 X 750 ).mp4
 
Dogo anajua! Mimi kama mzazi kwanza palepale nampa zawadi akitoka skuli usiku namuwekea wimbo atumbuize mbele ya familia alafu namwambia dogo piga msuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom