SIPATI PICHA KAMA WCB WANGEKUWEPO FIESTA

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Yaani hawa jamaa wangekuwa kwny fiesta CMG wangepiga mpunga wa kutosha maana hawa jamaa wanakubalika kinoma kitaa
 
Sema unawakubali pekee yako pambafu...majitu gani yanajifanya miungu watu kisa vijisenti vya kubadili mboga
 
Back
Top Bottom