Just convert video to DVixNinaomba msaada namna ya kutatua tatizo nikiweka movies kwenye flash na kutaka kuplay kupitia dvd player ya system hiyo hapo juu inaniletea hiyo error...nifanye nini ku solve tatizo?
Bro hii itawork out?unapendekeza convertor ipi?
Ndo ubaya wa haya madude,zinaboa sana.
Hapo ni kuconvert tu au play kwenye tv sound ndo uunganishe na music system