kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Kwa ujumla ukitaja visambuzi bora Tanzania Azam watakuwa ni mojawapo ila wamekuwa wanajusahau kuwa wako katika ushindani na kufanya wanavyotaka !yafuatayo ni mambo yatayopelekea kuanguka kwa mauzo ya Azam decoder!
1. wanasafiria nyota ya ligi mkuu ya Vodacom! wanajinasibu sana kwa kuwa mameteka ligi kuu ya Vodacom hivyo kufanya wanavyotaka!
2. bei decoder iiyotabirika ,hadi kufikia leo tar 27feb 2016 decoder ya azam imepanda kutoka 140,000 hadi 170,000 bila taarifa yoyote!
3. Gharama za vufurushi ni kubwa sana, kupata channel kama aljezeera, BBC, CNN, France 24, discovery science mpaka ulipie kifurushi cha 20,000 ambacho kwa mtumuaji wa kawaida ni ngumu kuipi kila mwezi! huku kifurushi cha 12000 unaishia kupata channel za kihindi kibao, kiarabu, na nyingine lugha hazieleweki...