Baada ya Gazeti la Tanzania Daima kutupa maana Kuntu ya msemo wa Mwanaume wa Dar sasa Gerezani na Mortuary Kutafurika Wateja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,002
107,344
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kabisa kwa kulishukuru kwa dhati kabisa Gazeti la Tanzania Daima hasa la leo kwa Kujitoa Mhanga kueleza ' bayana ' kabisa nini maana ya Msemo ' unaohubiriwa ' kila mara na Wanaume wa Mikoa mingine ( siyo wa Dar es Salaam ) na Wanawake wengi wa nchini wa ' Mwanaume wa Dar '.

Kwa mujibu wa Gazeti la Tanzania Daima la leo hasa katika tafsiri yao ya ' Kifasihi ' kabisa kumbe maana halisi / kuntu kabisa ya Msemo huo wa ' Mwanaume wa Dar ' ni kwamba ni ' Mwanaume Shoga / Bwabwa / Mtambaliziwaji Unyabeni '.

Naomba nianze tu kuwaambia mapema kabisa Jeshi la Polisi Tanzania kwamba kuanzia sasa wajiandae Kuongeze ukubwa wa ' Selo ' zao kwani baada ya leo kuna uwezekano wa Kutukuka kabisa kwamba Watu wengi wakaelekea huko hasa kwa Kutoa Kichapo cha Shalubela / Kikatili baada ya kuambiwa hilo neno la ' Mwanaume wa Dar '.

Kama pia haitoshi nipende tu pia kuwaambia Wafanyakazi wa Magereza nchini Tanzania hasa haya ya Dar es Salaam kwamba wajiandae nao kupokea ' Wateja Wafungwa ' wengi watakaotokana na ' Kukereka ' kwa kuambiwa hili neno. Na naamini pia kwamba hata ' Mortuary ' zetu nyingi hapa Dar es Salaam nazo zitafurika ' Wateja Maiti ' watakaotokana na ' Vipigo ' ambavyo watapewa na Watu kama wakiwaita tena ' Wanaume wa Dar '.

Haiwezekani kabisa ' Mwanamume ' kama Mimi GENTAMYCINE tena ninayetokea kabisa Mkoa unaotisha na unaojulikana kwa kutoa ' Wanamume wa Shoka na Mashujaa ' wa Mara ( Musoma ) halafu leo hii Mtu mmoja Mpumbavu / Popoma tu anatoka huko atokako anaanza Kuniita ' Mwanaume wa Dar '. Kwanza unaanzaje anzaje Kuniita Mimi ' Mwanaume wa Dar? ' Hakyanani kuna Watu sasa wanaenda ' Kuumia ' na huu Msemo hadi watajua ni kwanini Idi Amini japo alikuwa ni Mwanaume lakini pia aliitwa Dada.

Nawasilisha.
 
Siuhame tu Dar mkuu kuliko kufungwa. Hahahaa
 
Nadhani ni tafsiri binafsi sio rasmi, mitaani neno hilo lina maana mwanaume legelege asiyeweza kumtosheleza mkewe au mpenzi wake kitandani , ngoja waje wajuvi wadadavue zaidi
 
hayo maneno ya mwsho kila nikiskie hua nacheka sana"kwanin IDi amini alikua rijali lakini aliitwa dada"
 
Tumekusikia ndugu, Mwanaume wa Dar.
 
Nadhani ni tafsiri binafsi sio rasmi, mitaani neno hilo lina maana mwanaume legelege asiyeweza kumtosheleza mkewe au mpenzi wake kitandani , ngoja waje wajuvi wadadavue zaidi

Sasa maelezo yako haya yana umbali gani na hiyo maana iliyotolewa na Gazeti la leo la Tanzania Daima kwamba ' Mwanaume wa Dar ' inamaanisha ni Mwanaume Shoga? Sasa kama Mwanaume hawezi Kumtosheleza Mkewe au Mpenziwe Kitandani au ni GoiGoi akiitwa ' Shoga ' kutakuwa na Kosa?

Yaani natamani sana huku Mtaani Mtu ' ajitusu ' tu aniite ' Mwanaume wa Dar ' ndipo atajua ni kwanini Mikoa yote ya Tanzania ukiingia unaambiwa Karibu ila wa Mkoa wa Mara unaambiwa SASA UNAINGIA MARA GANGAMALA.
 
Hata mimi nalijua hivyo!
Kuna kipindi fulani ... tulikuwa tukitoka zetu mikoani ukimkamata demu wa Dar atengeneza mazingira ya kukufuata hadi mkoani. Ni kweli chips zinawaharibu; joto shida, makelele mtindo mmoja ... alafu kitu kingine ... Kitendo cha huduma kuwepo zaidi ya wahitaji ndo kinachosababisha hao wa dar waathirike kisaikolojia na kupoteza nguvu na kiume.
 
hayo maneno ya mwsho kila nikiskie hua nacheka sana"kwanin IDi amini alikua rijali lakini aliitwa dada"

Mkuu kuna Watu ' Kiutani ' tu hasa pande za ' Kitaa ' hasa wale wa Mikoani walikuwa wakipenda Kusema hilo neno ila nadhani baada ya kupata sasa ' tafsiri ' sahihi ya Msemo huo ni vyema kama nitakuwa naonana nao tena Kitaani au Vijiweni basi wakiwa wananiita ' Mwanaume wa Dar ' ama wawe mbali na Mimi kama Mita 100 ili nikiwatoa baru / mbio wanizidi au Wawe katika Pikipiki za Bodaboda ambazo hazijazimwa ili nikiwakimbiza nisiwakute au Mtu atakayekuwa ananiambia huo Msemo awe ni Mbavu Nene / Mbabe ili nisimmudu lakini akikosea akawa ni Mtu ambaye naona kabisa namuweza hakyanani nitagawana nae Majengo ya Magufuli Yeye akienda ' Mortuary ' na Mimi nikielekea kuanza maisha yangu mapya na ya Kutukuka ' Prisons ' Segerea.
 
Sasa maelezo yako haya yana umbali gani na hiyo maana iliyotolewa na Gazeti la leo la Tanzania Daima kwamba ' Mwanaume wa Dar ' inamaanisha ni Mwanaume Shoga? Sasa kama Mwanaume hawezi Kumtosheleza Mkewe au Mpenziwe Kitandani au ni GoiGoi akiitwa ' Shoga ' kutakuwa na Kosa?

Yaani natamani sana huku Mtaani Mtu ' ajitusu ' tu aniite ' Mwanaume wa Dar ' ndipo atajua ni kwanini Mikoa yote ya Tanzania ukiingia unaambiwa Karibu ila wa Mkoa wa Mara unaambiwa SASA UNAINGIA MARA GANGAMALA.

Kutomtosheleza mwanamke hakumfanyi mtu kuwa shoga, kuna factors nyingi tu, mfano ugonjwa msongo wa mawazo n.k . Wagonjwa wengi wa kisukari hawana nguvu za kuwatosheleza wenzi wao, pia ukiwa na stress mzuka unakuwa chini
 
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kabisa kwa kulishukuru kwa dhati kabisa Gazeti la Tanzania Daima hasa la leo kwa Kujitoa Mhanga kueleza ' bayana ' kabisa nini maana ya Msemo ' unaohubiriwa ' kila mara na Wanaume wa Mikoa mingine ( siyo wa Dar es Salaam ) na Wanawake wengi wa nchini wa ' Mwanaume wa Dar '.

Kwa mujibu wa Gazeti la Tanzania Daima la leo hasa katika tafsiri yao ya ' Kifasihi ' kabisa kumbe maana halisi / kuntu kabisa ya Msemo huo wa ' Mwanaume wa Dar ' ni kwamba ni ' Mwanaume Shoga / Bwabwa / Mtambaliziwaji Unyabeni '.

Naomba nianze tu kuwaambia mapema kabisa Jeshi la Polisi Tanzania kwamba kuanzia sasa wajiandae Kuongeze ukubwa wa ' Selo ' zao kwani baada ya leo kuna uwezekano wa Kutukuka kabisa kwamba Watu wengi wakaelekea huko hasa kwa Kutoa Kichapo cha Shalubela / Kikatili baada ya kuambiwa hilo neno la ' Mwanaume wa Dar '.

Kama pia haitoshi nipende tu pia kuwaambia Wafanyakazi wa Magereza nchini Tanzania hasa haya ya Dar es Salaam kwamba wajiandae nao kupokea ' Wateja Wafungwa ' wengi watakaotokana na ' Kukereka ' kwa kuambiwa hili neno. Na naamini pia kwamba hata ' Mortuary ' zetu nyingi hapa Dar es Salaam nazo zitafurika ' Wateja Maiti ' watakaotokana na ' Vipigo ' ambavyo watapewa na Watu kama wakiwaita tena ' Wanaume wa Dar '.

Haiwezekani kabisa ' Mwanamume ' kama Mimi GENTAMYCINE tena ninayetokea kabisa Mkoa unaotisha na unaojulikana kwa kutoa ' Wanamume wa Shoka na Mashujaa ' wa Mara ( Musoma ) halafu leo hii Mtu mmoja Mpumbavu / Popoma tu anatoka huko atokako anaanza Kuniita ' Mwanaume wa Dar '. Kwanza unaanzaje anzaje Kuniita Mimi ' Mwanaume wa Dar? ' Hakyanani kuna Watu sasa wanaenda ' Kuumia ' na huu Msemo hadi watajua ni kwanini Idi Amini japo alikuwa ni Mwanaume lakini pia aliitwa Dada.
Nawasilisha.
Wewe Mwanaume wa Mara uishie Dar hivyo kwa sasa ni MWANAUME WA DAR
 
Kutomtosheleza mwanamke hakumfanyi mtu kuwa shoga, kuna factors nyingi tu, mfano ugonjwa msongo wa mawazo n.k . Wagonjwa wengi wa kisukari hawana nguvu za kuwatosheleza wenzi wao, pia ukiwa na stress mzuka unakuwa chini

Hivi kuna Ugonjwa unaitwa Msongo wa Mawazo? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Wewe Mwanaume wa Mara uishie Dar hivyo kwa sasa ni MWANAUME WA DAR

Mkuu nakupa ONYO KALI kama Wewe hutoki katika haya Makabila ya Watani zangu wakubwa upande wangu wa Mzazi wa Kiume na Mzazi wa Kike nakupa sekunde 15 tu baada ya Kuona hii ' post ' uniombe RADHI vinginevyo utajuta sawa?

Kama Wewe siyo Mhaya ( Kagera ), Mnyaturu na Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ) na Mrangi ( Kondoa Dodoma ) au kama Wewe siyo Mngoni ( Ruvuma ), Mndengereko ( Rufiji Pwani ), Mluguru ( Morogoro ), Mzaramo ( Dar es Salaam ) na Mkwere ( Bagamoyo ) upesi sana ' tubu ' na omba huo Msamaha wa Kuniita ' Mwanaume wa Dar '.
 
Mkuu kuna Watu ' Kiutani ' tu hasa pande za ' Kitaa ' hasa wale wa Mikoani walikuwa wakipenda Kusema hilo neno ila nadhani baada ya kupata sasa ' tafsiri ' sahihi ya Msemo huo ni vyema kama nitakuwa naonana nao tena Kitaani au Vijiweni basi wakiwa wananiita ' Mwanaume wa Dar ' ama wawe mbali na Mimi kama Mita 100 ili nikiwatoa baru / mbio wanizidi au Wawe katika Pikipiki za Bodaboda ambazo hazijazimwa ili nikiwakimbiza nisiwakute au Mtu atakayekuwa ananiambia huo Msemo awe ni Mbavu Nene / Mbabe ili nisimmudu lakini akikosea akawa ni Mtu ambaye naona kabisa namuweza hakyanani nitagawana nae Majengo ya Magufuli Yeye akienda ' Mortuary ' na Mimi nikielekea kuanza maisha yangu mapya na ya Kutukuka ' Prisons ' Segerea.
Haya mambo ya kubezana kiutani mwsho yataleta athar katika jamii.

Tungojee kuona mtu mmoja tu akipewa show na wengine watatulia.
 
Kwa hiyo hata wanaume mashoga wanaoishi mkoani ni wanaume wa Dar? Hhahhahahaah
 
Wanaume wa dar wanaona mwenzao anaporwa hata msaada hakuna ndo wanajuficha, sasa mwizi akiondka ndo wanaanza kukaa makudi kujadili
 
Mkuu nakupa ONYO KALI kama Wewe hutoki katika haya Makabila ya Watani zangu wakubwa upande wangu wa Mzazi wa Kiume na Mzazi wa Kike nakupa sekunde 15 tu baada ya Kuona hii ' post ' uniombe RADHI vinginevyo utajuta sawa?

Kama Wewe siyo Mhaya ( Kagera ), Mnyaturu na Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ) na Mrangi ( Kondoa Dodoma ) au kama Wewe siyo Mngoni ( Ruvuma ), Mndengereko ( Rufiji Pwani ), Mluguru ( Morogoro ), Mzaramo ( Dar es Salaam ) na Mkwere ( Bagamoyo ) upesi sana ' tubu ' na omba huo Msamaha wa Kuniita ' Mwanaume wa Dar '.
Mimi Mchaga... wewe sio Mtani wangu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom