Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Najua hii mada itakuwa na wachangiaji wachache kutokana na mahudhui yake ila ni vyema ukaweka ata neno ili wengine wajifunze kupitia wewe,
Wengi tuna majukumu kiasi kwamba ukipata hela kidogo unashindwa ata kufikiria kuhusu swala la kuweka Akiba,
unasomesha watoto,wazazi wanakutegemea,pango ya nyumba nayo inakusubiri,pesa unayopata haitoshi ,shida nazo haziishi je utawezaje kuweka Akiba,
Unafikiria kwa siku kipato chako hakizidi sh. elfu 10 ya kitanzania hapo kuna kula,malazi na matumizi mengine ya kila siku kando ya niliyoyataja hapo juu paragraph ya pili,
Tushirikishane kwenye hili unawezaje/uliwezaje kuweka Akiba kwenye kile kipato chako kidogo unachokipata/Ulichokipata ili kufikia malengo yako?