Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na...
5 Reactions
40 Replies
14K Views
Yaani ukiwa unaendesha gari ukakutana na watu wamepanda daladala kwenye foleni watakuangalia jicho baya sana lililojaa chuki kisa unaendesha mwenyewe kagari kako Haya sasa watembea kwa miguu ndio...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Mtendaji Kata ya Kwankonje, Wilaya ya Handeni amenaswa na TAKUKURU live mbele ya watu kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka Kwa mzazi wa mwanafunzi wa sekondari aliyepata ujauzito. Mtendaji...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Zamani Baba alikuwa na majina A.k.A mengi kama 1.Gaidi 2.Dingi 3.mzee mkaksi 4.kubwa la maadui Baba akirudi kutoka kazini utasikia watoto wakisema gaidi ashaingia hapo watoto wanakuwa wapole na...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepitia michango ya Watu mbalimbali ya Mitandaoni na hata katika Vijiwe vyangu mbalimbali na leo ndiyo naukamilisha Utafiti wangu usiokuwa rasmi kwamba kama kuna Taifa la Watu ' Wanafiki '...
17 Reactions
61 Replies
9K Views
Katika mazingira mengi (most cases) wanadamu tumeumbwa kuitikia (respond) matukio mbali mbali kwa namna tofauti. Hata hivyo jambo hili linatofautiana kwa mwanadamu mmoja na mwingine. Mfano...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Teknolojia ,utandawazi ni vitu ambavyo havikwepeki katika maisha yetu. Athari zake ni mpaka kwenye lugha . Haya maneno yamekuwa yakitumika isivyo na wadau wengi na wengine ambao unategemea kuwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni Mpenzi wa mpira kwa kiasi flani na napenda sana nikiwa namuona huyu Dada anatangaza ni Weekend leo
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Inashangaza, kila mtu anayepimwa sasa anakutwa na uti...... nilizoea dalili mojawapo(iliyo dhahiri) kwa sisi wanaume ni kutokwa na uchafu ktk mrija wa mkojo au unawasha washa... lakini saivi...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu,kutokana ni hili janga la ushoga kuzidi kushika kasi kila kona ya dunia je tutumie mbinu gani kulinda vijana wetu wa kiume. Kwa kweli hakuna jambo litakalo kuja kunisikitisha kama kusikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inawezekana waliotufundisha na wale tuliosoma nao ambao wana nafasi ya kusema na kushauri wameamua kukaa kimya. Hivi hatuoni ama tunaona wachache ama tunaoona hatuoni vizuri? 1.Asilimia kubwa ya...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanaJF Ni Jumapili ngumu kuliko Jumapili zote kwa wanafunzi wote Tanzania Bara na Visiwani wanaotarajia kuanza mitihani yao hapo kesho kwa mujibu wa ratiba iliyoanishwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afrika zamani liliitwa bara jeusi limekuwa katika harakati za mabadiliko kwa miongo kadhaa sasa kutoka katika mila za kishenzi na kuingia katika mila za kistaarabu,kutoka katika utumwa na kuingia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Balozi Michelle Bachele Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba kuna kamati itakayo...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Nilipokuwa mdogo habari za mpinga Kristo na chapa ya 666 zilihubiriwa kwa kasi. Niliona hivi ni vitu visivyowezekana lakini sasa dalili zi wazi kuwa huu ndio mwanzo wenyewe wa mpinga Kristo...
13 Reactions
89 Replies
17K Views
Kwanza nawasalimu wote wa jf member na wasio member, poleni na majukumu, MUNGU Ni mwema Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu leo tutaangazi mapiramidi ya giza yalioko kule misri.. Songa...
6 Reactions
36 Replies
9K Views
Waungwana salaam! Kumekuwepo na juhudi za serikali za kiafrika kupambana na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga, lakini kila siku ushoga umekuwa ukidhidi kushamiri katika jamii zetu za kiafrika...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
NHC walitangaza sana nyumba zao mitandaoni kwa kila mradi, binafsi nilivutiwa na mapicha picha ingawa bei sikuzimudu nyakati hizo, ila kwasasa ninauhitaji lakini sioni tangazo lao na website yao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe mstaafu wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi, Mugana, Mkoani Kagera. Mwenyezi...
3 Reactions
47 Replies
10K Views
Shoga ni miongoni mwaa Kiumbe sipatani nacho hasa yule ambae naona anaingilia hadi mazingira yangu. Ila kama ushoga wake anaufanyia huko ambao haungiliani na mazingira yangu siezi kuwa na shida...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…