aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,636
- 3,620
Yaani ukiwa unaendesha gari ukakutana na watu wamepanda daladala kwenye foleni watakuangalia jicho baya sana lililojaa chuki kisa unaendesha mwenyewe kagari kako
Haya sasa watembea kwa miguu ndio shida yaaan jicho la chuki tu utazani wew ndo chanzo cha yeye akiwa mtembelea migu,bahati mbaya umkose kumgonga utasikia kisa una gari basi unatudharau
Ulikutana nao zebra sasa taaa ya kijani inawaka yeye anataka avuke
Msiwe na roho ya kwanini kila mtu anaishi kwa kuchagua life style,bahati na Mungu alivomuandikia