TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,494
- 5,396
Shoga ni miongoni mwaa Kiumbe sipatani nacho hasa yule ambae naona anaingilia hadi mazingira yangu. Ila kama ushoga wake anaufanyia huko ambao haungiliani na mazingira yangu siezi kuwa na shida nae.
Najiwazia hivi MTU inakuwaje watuma msg kabisa kwa jina la mwingine kuwa ni shoga? Kwanini isiwe kwa vibaka wanaotusumbua mitaani au hawa wasiojulikana wanaotutesa akili??? Tuangaike na watu ambao ni vikwazo kwa jamii.Sitaki tetea ushoga kwa kupitia dhambi nyingine ila hili Sidhani MTU naakili zako unaeza kutuma msg kuwa flani ni shoga.....
Ila shule za Seminary nyie ni vyanzo vikubwa vya hawa watu(Mashoga)