kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,307
- 17,579
Mtendaji Kata ya Kwankonje, Wilaya ya Handeni amenaswa na TAKUKURU live mbele ya watu kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka Kwa mzazi wa mwanafunzi wa sekondari aliyepata ujauzito. Mtendaji huyo badala ya kumkamata kijana aliyempa mwanafunzi mimba ameomba rushwa Kwa mzazi eti ili kumsaidia mzazi asitiwe msukosuko wa kumtafuta kijana aliyempa mimba mtoto wake.
Chaaajabu mtendaji huyo kawahonga Takukuru wakamuachia mpaka sasa Yuko kazini. Hatumtaki mtendaji huyu anayestawisha mimba za wanafunzi hapa Kwankonje.
Chaaajabu mtendaji huyo kawahonga Takukuru wakamuachia mpaka sasa Yuko kazini. Hatumtaki mtendaji huyu anayestawisha mimba za wanafunzi hapa Kwankonje.