TANZIA: Mtangazaji mkongwe aliyewahi kutangaza Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani, Florian Kaiza afariki

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe mstaafu wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi, Mugana, Mkoani Kagera.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

AMINA.
 
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe mstaafu
wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana, mkoani Kagera
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe AMINA.
Ni rafiki yangu binafsi ..... Aliniuzia redio wakati anaelekea kutangaza radio China maana 1986 .... Rest in peace
 
Back
Top Bottom