Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.
Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.
Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.
Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.