Katika mazingira mengi (most cases) wanadamu tumeumbwa kuitikia (respond) matukio mbali mbali kwa namna tofauti. Hata hivyo jambo hili linatofautiana kwa mwanadamu mmoja na mwingine.
Mfano...
Teknolojia ,utandawazi ni vitu ambavyo havikwepeki katika maisha yetu. Athari zake ni mpaka kwenye lugha .
Haya maneno yamekuwa yakitumika isivyo na wadau wengi na wengine ambao unategemea kuwa...
Inashangaza, kila mtu anayepimwa sasa anakutwa na uti...... nilizoea dalili mojawapo(iliyo dhahiri) kwa sisi wanaume ni kutokwa na uchafu ktk mrija wa mkojo au unawasha washa... lakini saivi...
Wakuu,kutokana ni hili janga la ushoga kuzidi kushika kasi kila kona ya dunia je tutumie mbinu gani kulinda vijana wetu wa kiume.
Kwa kweli hakuna jambo litakalo kuja kunisikitisha kama kusikia...
Inawezekana waliotufundisha na wale tuliosoma nao ambao wana nafasi ya kusema na kushauri wameamua kukaa kimya.
Hivi hatuoni ama tunaona wachache ama tunaoona hatuoni vizuri?
1.Asilimia kubwa ya...
Habari za wakati huu wanaJF
Ni Jumapili ngumu kuliko Jumapili zote kwa wanafunzi wote Tanzania Bara na Visiwani wanaotarajia kuanza mitihani yao hapo kesho kwa mujibu wa ratiba iliyoanishwa na...
Afrika zamani liliitwa bara jeusi limekuwa katika harakati za mabadiliko kwa miongo kadhaa sasa kutoka katika mila za kishenzi na kuingia katika mila za kistaarabu,kutoka katika utumwa na kuingia...
Balozi Michelle Bachele
Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba kuna kamati itakayo...
Nilipokuwa mdogo habari za mpinga Kristo na chapa ya 666 zilihubiriwa kwa kasi. Niliona hivi ni vitu visivyowezekana lakini sasa dalili zi wazi kuwa huu ndio mwanzo wenyewe wa mpinga Kristo...
Kwanza nawasalimu wote wa jf member na wasio member, poleni na majukumu, MUNGU Ni mwema
Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu leo tutaangazi mapiramidi ya giza yalioko kule misri..
Songa...
Waungwana salaam!
Kumekuwepo na juhudi za serikali za kiafrika kupambana na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga, lakini kila siku ushoga umekuwa ukidhidi kushamiri katika jamii zetu za kiafrika...
NHC walitangaza sana nyumba zao mitandaoni kwa kila mradi, binafsi nilivutiwa na mapicha picha ingawa bei sikuzimudu nyakati hizo, ila kwasasa ninauhitaji lakini sioni tangazo lao na website yao...
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe mstaafu wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi, Mugana, Mkoani Kagera.
Mwenyezi...
Shoga ni miongoni mwaa Kiumbe sipatani nacho hasa yule ambae naona anaingilia hadi mazingira yangu. Ila kama ushoga wake anaufanyia huko ambao haungiliani na mazingira yangu siezi kuwa na shida...
Wapenzi wa movie tu hapa,
Kwenye library yako umepanga kucheki movie gani siku ya leo ,
Kiukweli binafsi leo kuna movie flani hivi ya horror inaitwa Conjuring ipo 1&2 naona wadau wameiongelea...
Kwa sasa niko nawatumikia wananchi kwa muda wa miaka mitatu tangu nipewe kazi kama karani wa ofisi.
Ndani ya muda huo mafanikio niliyopata nikiwa kama karani ni kama ifuatavyo;
Kijamii...
Waziri wa Mali Asili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla, ameweka wazi juu ya mpango wa kuwarudisha kwao watalii watakaoingia nchini, ambao watabainika kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja...
Kwa mliotazama habari za mahakamani leo mwadada ambaer alishindwa kukaa kabisa akilalamika huko nyuma kumevimba..
Huyu dada kafanyiwa matendo gani huko lockup?
Najua mtu anapewa matesso au...
KAZI IMEANZA ARUMERU
Siku Moja baada ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kukabidhiwa orodha ya Majina ya Vigogo ambao baadhi ni viongozi wa Kanisa la Baptist wanaotuhumiwa kutumia vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.