Taboa hoja mnazo ila kutanzua haya kazi yake si ndogo. Options mlizo nazo ni umoja wenu au kupata mawakili wazuri.
Si haba kujua unyonge wenu ndio unao lea yote haya.
Wenye mabasi wajitoa kamati...
Mvua bado chache mambo ndio yameanza kwa barabara za kigoma, madereva wa Dar karibuni kwenye barabara zenye tope la kuvuta.
Tahadhari: Usikimbize gari kwenye barabara zenye tope usilolijua aina...
Walichoshtakiwa hawa vijana waliolawitiana kwenye mahakama nzuri na wanasheria wazuri hakuna kesi hapo.
Kwani walitoboa tundu mpya? Ile tundu ni maumbile. Wawashitaki kuingiliana kinyume na...
TAHADHARI YA WIZI WA MITIHANI.
HABARI ZENU WAKUU.
katika nchi ya Tanzania, wizi wa mitihani imekuwa ni jambo la kawaida,
Juzi tumeona baadhi ya shule zikifutiwa matokeo ya mtihani kutokana...
Ndugu,jamaa na marafiki habarini za wakati huu. Naomba mawazo,ushauri kupitia mada hii ya walio athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Kama mnavyo fahamu wako baadhi ya watanzania...
Wakuu nimetafakari kwa kina juu ya hili janga la Ushoga tz kuhusisha watu nisio wategemea kabisa.
Mtazamo wangu sasa ni hivi!, Kuna kipidi kuliibuka sana vijana wetu wengi kubebeshwa unga...
Nimejaribu sana kutafakari picha hii kwa huyu WP yaani Polisi wa kike hata sijaelewa sana baada ya ile ajali ya treni?
Au na yeye ni mwandishi wa habari wa mitando au majarida ya Polisi? au na...
Habari wanajamvi!
Natumai mnaendelea vyema na mapumziko yenu ya wikiendi.
Ninaomba ikiwa una access ya link au pdf document ya kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana Taifa kwa mujibu wa Sheria...
Mwezi Mei 21 2018, watu watatu walifariki kutokana na ajali ya gari mali ya kituo cha Uwekezaji(TIC) cha Tanzania, huku uchunguzi wa Polisi ukibainisha kwamba chanzo cha ajali kilitokana na mwendo...
Nimekua nikiona baadhi ya taarifa za viongozi hasa Dar es salaam kuwa Kipindupindu kupungua, lakini hali ni tofauti Kigoma Kusini, Kila kukipambazuka watu wanazidi kupata hofu na mashaka...
Ndugu,jamaa na marafiki habarini za wakati huu. Naomba mawazo,ushauri kupitia mada hii ya walio athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Kama mnavyo fahamu wako baadhi ya watanzania...
Ni kweli au ni ya kikombe cha babu? Ni hakika, au ni ya waliotelekeza watoto? Ni sawa, au ni ya kututoa kwenye ya msingi?
Kama ni kweli, na ni hakika, na ni sawa. Mimi napendekeza lianze zoezi...
Hapa naomba tuelewane kwamba utani wetu haujaanza leo na ni utani kweli kweli ndio maana huwezi kukuta east africa mataifa mengine wanataniana kama sisi .
Naomba Amani itawale kati ya kenya na...
Wanajamvi nimewahi leta hapa thread juu ya unyanyasaji unaofanywa na makampuni ya usafirishaji wa abiria mkoani Ruvuma hasa hasa barabara ya Songea mbinga leo nitayataja baadhi ya makampuni hayo...
Nilikuwa napitiapitia taarifa za kihisoria hatimaye nikakutana na stori ya Dr David Livingstone na watumishi wake James Chuma, Abdullah Susi na Jacob Wainwrigt, sio mbaya na wewe ukaifahamu japo...
Kuna watu wanasaport ushoga mmmh ni lanaaaa na chukizo kwa mwenyez mung na ni against na maadili yetu,,,mkonda UPO na mungu koma nao mpaka kieleweke bila kujar wazungu wasio thamini maadili yetu...
Huu ni ujinga wa kiwango cha juu, yaani unakuta limtu linatenda mambo yake huko gizani likiwa lenyewe alafu linaitisha vyombo vya habari kutuomba radhi[emoji12] [emoji12] [emoji12] kwani nani...
Huyu jamaa kila nikiangalia picha zake toka amerudi naona kabisa bado hayuko sawa kwa mtazomo wa lugha ya mwili au body language ...anahitaji msaada wa kisaikolojia......Mungu na amsadie tu
Chanzo cha ajali hiyo ya moto bado hakijajulikana. Shule hiyo ya sekondari ipo Mkoani Songwe.
Hii si mara ya kwanza kwa shule hiyo kuteketea kwa moto, miaka zaidi ya 10 iliyopita iliwahi kukumbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.