mansolata
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 502
- 319
Habari mwanajamvi......
Karibuni sana wandugu tupeane ufafanuzi juu ya baadhi ya mambo ambayo miaka kadhaa iliyopita tulijifunza tukiwa mashulenj kua (5 times5 equal to 25 but now....5 x5 =40)
Binafsi naona mambo yamebadilika kua negative...
Hebu tafakari majibu ya maswali haya......
1.Maendeleo nini?
2.Umasikini nini?
3.Viashiria vya 1 na 2
4.Uchumi nini?
5.Viashiria vya kupanda au kushuka kwa uchumi
Pata muongozo wa majibu hapo juu kwa vitabu rasmi kwenye mtaala wa sekondari( o-level) Civics
Husianisha majibu uliyonayo kutokana na maswali hapo juu na majibu ya serikali ya awamu 5 juu ya masuala haya.....
Wataalam karibuni...
NB: usikurupuke uchangiapo uzihuu