mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
Usiku wa kuamkia leo kuna ndoto nimeota baada ya kushituka imenichukua saa nzima mpaka kurudia usingizi tena na nimeitafakari sikuwa na jibu,
Nimeoteshwa niko sehemu nisiyoifahamu niko na mwenzangu tukaomba lifti kwenye gari la mizigo (truck and trailer) ambalo ni tank ya mafuta ndani ya lile lori kulikuwa na dereva, konda ambae anafahamu kuendesha gari na msaidizi mwingine ambae ni fundi, dereva aliendesha vizuri pia alikuwa akijisifia,
Kufika mbele sehemu nisiyoifahamu pia kama kijiji tulipaki kama kuchimba dawa wote, baadae yule dogo konda ambae anaweza kuendesha pia aliingia kwenye gari na wenzake wakaingia mm nilikaa pembeni, jamaa hakuendesha gari vizuri akapalamia mti gari likapinduka wakaanguka wote, mimi pembeni nikaanza kuwaambia wanakijij tukimbie muda si mrefu litalipuka hatujafika mbali, jamaa wakatoka na dereva mkuu akakasirika kwa nini nakimbia mwenzangu pia alikimbia, ila nimekimbia namuona kama yuko ita 5 mbele yangu.
mkononi mwake kashika bastola akasema kwa ukali unakimbia nini ikaonekana kama nimesababisha ile ajali ila pia nawakimbia akanishuti bastola ya tumbo, sikusikia maumivu wala damu kutoka nikaanza kuomba msaada niwahishwe hospitali kila mtu alinisusa rafiki yangu sikujua alikimbilia wapi, Nikaenda nyumba ingine wakanikataa sijui niliingia wapi ndio nikapewa huduma ya kwanza.
Ile huduma ya kwanza ikanishangaza damu zinatoka tumboni ila nafungwa clip bandage usoni tena za rangi ya pinki mpauko baadae nikajiona kabisa nkata roho ila nina uhai pia yaani kama niko pembeni najiona ninavohangaika, nikawaambia damu ikizidi sana kutoka mm ntakufa ila naogopa,
Ghafla nikashtuka nikahema sana nikakaa pembeni kuitafakari sikupata jibu ila iliniwazisha sana kitendo alichofanya yule dereva baadae nikarudi kulala.
Msaada wenu maana ya Ndotto hii ni nini..?