Watanzania tunapenda sana misifa

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,453
2,849
Haya matangazo ya kujipa matumaini mi sifa yataisha lini kwa hizi Team zetu za taifa na vilabu vya simba na yanga

Jana naangalia azam tv mpaka Al manusura nivunje tv kwa upumbavu niliokua nauona kuipamba team yetu ya taifa.kwa Kweli inauzi sana namuona msaga sumu anawapa ma ujiko na kuwavimbisha vichwa wachezaji sifa ambazo wanatakiwa kupewa wakisha jihakikishia wameshakwenda afcon

Inauma saana ukiangalia bado tunasafar nzito hata wale watoto serengeti boys waliaminishwa wakavimbishwa vichwa ikawa kila ukifungua tv utawaona vijana wakiamini wamesha kwenda gabon tayari.

Vyombo vya habar chonde chonde acheni kutuharibia Team zetu kuzijaza sifa sisokua nazo nyie ndio mnachangia kwa kiasi kikubwa kutufelisha tusijione tumefika jaman watanzania kazi ilo baki ni nzito tusijipe matumain inakera saaaana
 
Back
Top Bottom