Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha.
Pia nimesikia hawa...
Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la...
Mungu wa mababu zetu alimfufua Yesu, yule mliyemuua kwa kumning’iniza mti. (Matendo 5:30)
Basi Yesu aliposema:
Na asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hastahili mimi. (Mathayo 10:38)
Ingepasa...
Tuseme kwamba Mrisho Gambo amechoka kuwa mnafiki? Haya tutayaona mengi sana hadi kufika 2030
=========
Sawa bhana Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda...
Kwa majina anaitwa Yusufu Mhando ni mkazi wa Chanika jijini Dar Es Salaam. Alianza kufanya kazi Tanesco kama Kibarua mwaka 2000 then baadae mwaka 2007 akaajlriwa rasmi. Mwaka huo waliajiriwa...
Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na...
Nianze kwa kuwapa pongezi Gunners wenzangu kwa kubeba ubingwa wa EPL baadae ya kusubiri kwa miaka 24.. Kuna muda ilifika mpaka nikaanza kuamini labda wamiliki wa Arsenal walikuwaga wanacheza...
Kuna baadhi ya baa zinapiga mziki hadi usiku wa manane, sanasana maeneo ya Kinondoni ambapo zipo katikati ya makazi ya watu.
Je, mamlaka zimefuta ile Sheria ya mwisho saa sita usiku au kwa sasa...
Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi,
Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds...
Moja ya makosa makubwa ya kifedha ambayo watu wengi hufanya ni kudhani kuwa umaskini unasababishwa tu na kukosa pesa.
Wakati mwingine, umaskini unasababishwa na watu unaowasikiliza kila siku...
Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na...
Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga .
Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya...
Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa
Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.