A
Anonymous
Guest
Nachingwea tuna shida ya maji sana, yaani wapo kimya maji hayatoki, Almost two weeks sasa, Yaan yakitoka ni ndoo 6 yamekata.
Nachingwea Kata ya Ugawaji maeneo ya Shule ya Msingi Majengo polisi posta yaani ni shida tupu
Nachingwea Kata ya Ugawaji maeneo ya Shule ya Msingi Majengo polisi posta yaani ni shida tupu