Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani nchini, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwa Bungeni leo amesema kuwa tangu usafiri wa Bodaboda na Bajaji kuanza kutumika kama vyombo vya usafiri mwaka 2008, hadi kufikia September 2018 vimesababisha jumla ya ajali 38,237
Kati ya hao watu waliopoteza maisha kutokana na ajali za bodaboda ni 8,237 na waliopoteza viungo vyao ni 37,521.