DPP awatangazia kiama wanaoandika "vijineno" mitandaoni

DPP awatangazia kiama wanaoandika "vijineno" mitandaoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mkurugenzi wa makosa ya jinai amesema atawashughulikia vikali wale wote wanatuma vijineno vya uzushi mitandaoni sambamba na wale wanaopost picha za ngono.

Chanzo: Uhuru!
 
Kwa jinsi Magufuli anavyolia lia kuhusu ufisadi uliofanywa na utawala wa mtangulizi wake, bila shaka DPP kapeleka kesi kibao za mafisadi kwenye Mahakama ya Mafisadi!!

Mpaka sasa zipo ngapi?

Kuna viongozi wangapi wa umma at ministerial level waliofikishwa kwenye hizo mahakama?!

Ni matumaini yangu kwamba DPP ameanza ku-deal na petty issues kwa sababu amesha-wind up hayo mambo ya msingi!
 
Hizi ndio habari zinazotamalaki kwasasa tanzania..."kushughulikia". Kila aliyepewa dhamani anaonyesha kipaji cha kushughulikia watu, sisikii habari za kustawisha ubora wa maisha ya wananchi, ni habari za kushughulikiana na ujenzi wa vitu. Sijui wananchi nao wana mpango wowote wa kushughulikia hawa viongozi kwenye chaguzi zijazo au tayari washashughulikiwa na process nzima ya uchaguzi kiasi kwamba hata hamu ya kwenda kuwashughulikia viongozi kwenye uchaguzi imeisha kabisa
 
Upupu mtupu, vipaumbele vya sirikali ni kushughulikia watu? Yale maisha bora yako wapi, viwonder viko wapi?

Au ndio watu wamegeuka viwonder.. Inasikitisha watu wazima wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu kuongea upuuzi kama huu tena mbele ya hadhara.
 
Kwa jinsi Magufuli anavyolia lia kuhusu ufisadi uliofanywa na utawala wa mtangulizi wake, bila shaka DPP kapeleka kesi kibao za mafisadi kwenye Mahakama ya Mafisadi!!

Mpaka sasa zipo ngapi?

Kuna viongozi wangapi wa umma at ministerial level waliofikishwa kwenye hizo mahakama?!

Ni matumaini yangu kwamba DPP ameanza ku-deal na petty issues kwa sababu amesha-wind up hayo mambo ya msingi!
Ndio mimi naposemaga ujinga huu utaisha lini? Kuna mambo makubwa ya kitaifa yanahitaji kupatiwa ufafanuzi we uje udili na vijineno na video mitandaoni!!! Nchi hii inawatanzania wangapi? Je wote wanatumia mindao? Yaaaan mimi huwa napataga hasira wakti mwingine
 
Waanze na Musiba ambaye yeye si vijineno tu bali video za Uzushi na Kuchafua Watu.
Ahh wapi walahi
Shoka lile la kuwakatilia mbali vibwengo walahi
 
Mkurugenzi wa makosa ya jinai amesema atawashughulikia vikali wale wote wanatuma vijineno vya uzushi mitandaoni sambamba na wale wanaopost picha za ngono.
Source Uhuru!

Mkuu,

Wamzungumzia DCI au DPP?

DCI -Mkurugenzi wa makosa ya jinai

DPP- Mkurugenzi wa mashtaka

Maana tuwekane sawa.
 
Ukiacha Mange, Wabunge uliyotaja wanatimiza Wajibu wao kwa Wananchi
Na huwa "Wanakosoa" Musiba "Anatuhumu " mbaya zaidi bila ya Ushahidi.
Acha unafiki Wewe. Hakuna anayetimiza wajibu wake hapo labda wajibu wa ufipa. Hao wote ni waropokaji tu sema utofaut ni waropokaji kuwa na team zao.kuna wanaoshabikiwa na ufipa na wengine lumumba.
 
Kwa jinsi Magufuli anavyolia lia kuhusu ufisadi uliofanywa na utawala wa mtangulizi wake, bila shaka DPP kapeleka kesi kibao za mafisadi kwenye Mahakama ya Mafisadi!!

Mpaka sasa zipo ngapi?

Kuna viongozi wangapi wa umma at ministerial level waliofikishwa kwenye hizo mahakama?!

Ni matumaini yangu kwamba DPP ameanza ku-deal na petty issues kwa sababu amesha-wind up hayo mambo ya msingi!


Hakuna mtuhumiwa wa ufisadi hata mmoja ambae ameshindwa kesi akafungwa jela.

Wanasheria wote wa serikali hamna kitu!

Ikulu inatambua hilo ndio maana imeagiza bila kumung’unya maneno kwamba wafungwe bila kuendesha mashitaka. Rejea hotuba ya Rais mwezi wa tisa ziarani Mara.
 
Back
Top Bottom