Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Waungwana hongereni kwa uhai hadi muda huu......
mara kwa mara napata notification ya app ya TALA. Wanahusika na kutoa mikopo. Ila ukitaka kujiunga unaweka namba yako ya simu sasa wananitisha kupekuwa simu yangu na wanasema..."Tla haitakupigia simu wala kutumaia SMS watu wa kwenye phonebook yako bila idhini yako" hapo sasa ndo nyweli zikasimama. JE, HII TALA ni salama?
asanteni......