Kumtesa mtu bila kuonana nae

Kumtesa mtu bila kuonana nae

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Upo uwezekano wa kumtesa mtu emotionally bila kukutana nae ana kwa ana?
Maumivu anayopewa mtu bila kuguswa mwili wake.
 
Upo uwezekano wa kumtesa mtu emotionally bila kukutana nae, ana kwa ana?
Yes... Upo huo uwezekano Ila mara nyingi kama huyo mtu anaeteswa ana roho ya kujali sana.

Ila hawa watu wana tendency ya kuvumilia sana.. Ila once he/she's done... Ndo moja kwa moja hiyo.
 
Muombe msamaha na uache mara moja
 
Long distance relationship watu hutesekaga bila kuonana.
 
Chochote unachokitaka mwanadamu kinakuwa hivyo unavyotaka hakuna kinachoshindikana.
 
Back
Top Bottom