J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,551
- 1,524
Nimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia baadhi wakawafanya vilema wakatulia. Wengine walishungulikiwa kisheria sasa wapo jela na wengine washamaliza vifungo vyao wamebadilika kuwa raia wema wadhoofu kwa kila hali.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.
Sijaona mbabe aliyedumu na ubabe milele pale kijijini.
Siku hizi nikienda likizo nakuta waliopo wamestaarabika sioni wale wababe wa zamani.