Ninajiuliza hii basata ilikuwepo kipindi kile cha nyimbo hizi?
Bata
Muhogo wa jang'ombe
Nyimbo za chuchu sound?
Nyimbo za vinega?
Nyimbo za jahazi?
Ninachokijua basata wamejaa wazee watafuta kiki,pia wanataka kujionesha wao ndio wao.mpaka Leo sijaona basata wakipush sanaa ya bongo.basata hawa wanatumika ndio mana waliufungia wimbo wa haleluya walipoojiwa umekiuka maadili gani wakajibu majibu yakizee kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.