Nimesafiri jana na basi tokea Moro kuelekea ngara kupitia Kahama.
Basi nililo safiri nalo lilitozwa faini 3 yaani 90,000/= na kwa mujibu wa hudumu wale huu ndiyo wastani wa faini kila siku. Yaani...
Habari za muda huu waungwana?
Natumai mnaendelea vizuri hasa baada ya mihangaiko ya siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada niliyokusudia kuianzisha leo.
Kwa wale wakristo mtakua mpo aware zaidi...
Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20.
Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mbezi Beach...
Mzuqa,
MO naye ni mfanya biashara wa kununua Korosho?
Halafu nimejifunza kitu kipya hii makitu korosho ni lulu kwasababu serikali ilikuwa inalamba billion 600 kupitia mapato ikumbukwe iyo...
Awali ya yote wakubwa shikamooni, wadogo hamjambo?
#Naombamoderatorsmsifuteposthiinikwamanufaayawote.
Awali ya yote naipongeza serikali kwa ujenzi huu wa flyover ya ubungo mataa...
Kwa...
Ndiyo wakuu.
Mara zote nimekuwa nikiona kila nikimuona kiongozi mkubwa serikalini, pembeni utaona watu kadhaa wanaomsindikiza na ' pengine kumlinda' wakiwa na vitu fulani mfano wa earphone kwenye...
Habarini wana jamiifoorums
Leo mida ya saa 7 nilitoka gheto nikaelekea zangu mwenge vinyago kwenda kucheki ishu fulani hivi. Na wakati naondoka gheto nilipita dukani nikanunua maji. Nikafika...
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa...
Habari za Jumapili ndugu zangu wa JF, kwa yeyote ambaye ni fundi wa kutengeneza madirisha ya vioo na aluminium, yale ya ku slide.
Napenda kufahamu ni vifaa gani vinavyohitajika uwe navyo ili uweze...
Kupitia *150*87# na kuweka pesa kwenye akaunti yako kuanzia shilingi 1000 kutapelekea mtumiaji wa mitandao yote ya simu kui ngia kwenye droo kujishindia zawadi hizo mara baada ya kuweka ubashiri...
LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-
Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi...
Mbele ni mbele tu bongo Nyoso,kunavideo inasambaa huko insta ikimuonyesha rapper mashuhuri dunia bwana Snop dogy akivuta bange katika ikulu ya marekani pale Washington DC bila kuleta tafrani...
Ni kweli, mimi naye ni mwanaume kama ninyi, lakini hili wanalolifanya baadhi ya wanaume wenzangu sitalifanya maishani.
Sifanyi, kwa sababu nampenda mama yangu na kumuheshimu Sana.
Sitalifanya...
Ukiwasha dikoda yako utakutana na ujumbe huu
"We are experiencing technical difficulties, please wait"
Dstv jaribuni kusolve hili tatizo si mnajua leo wikiend kuna big games za kutosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.