Msaada wa namba Ofisi ya PSPF makao makuu

Msaada wa namba Ofisi ya PSPF makao makuu

Agresive

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
891
Reaction score
1,237
Hbr ya asbh wapendwa.

Mwenye namba za simu za PSPF makao makuu anisaidie ziwe za simu ya mezani au ya mkononi sawa ambayo ukipiga wanapokea..

Namba yao waliyoweka kwenye website inaita ila hawapokei zaidi ya wiki sasa. ukiwatumia EMAIL hawajibu.

NB. kama utakuwa na namba ya watu mafao upande wa MATERNITY kwa wamama itapendeza zaidi..

Natanguliza shukrani.
 
SUALA LA MATERNITY FIKA OFISI YA MKOA ISITOSHE PSPF ISHAKUFA KUNA PSSSF
Asante kwa ushaur mkuu. ila mkoani kila cku naongea nao majibu yao ni kuwa wanafatilia zaidi ya miezi 3 sasa. So nilitaman niulize makao makuu.

Kuhusu kuunganishwa kwa mifuko ni sawa ila kumbuka kuna miezi 6 ya matazamio au majaribio juu ya suala hili kwa muda huu ambao ni wamatazamio kila mwanachama bado anapata huduma za mfuko wake ule ule ndiyo mana na vitambulisho unatumia kile kile cha mfuko wako wa awali.
 
hakuna mwenye namba za ofisi hii kweli??
 
Back
Top Bottom