Mwaka huu wa 2018 ni Tanzania Agriculture Development Bank ndiyo watanunua zao la Korosho kutoka mikoa yote ambayo wanalima Korosho ambazo zinakadiriwa kufikia tano 200,000
Na kwa mwaka 2019...
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Moshi,James Silas,ametakiwa kujitoa kusikiliza shauri la Ardhi lililopo mbele yake baada ya walalamikaji katika shauri hilo kudai hawana imani naye.
Kama umefanikiwa kupitia hii michezo ya kubet.. Ama ukafaidika nayo
Toa ushuhuda hapa ilikuaje na pesa ni kiwango gani ulitumia. Ulishinda kiwango gani na ukapata mafanikio gani
Tunaomba ushuhuda...
Baada ya kufungiwa wimbo unaona kabisa madogo wa wcb walivyovimba na kukataa kuutoa wimbo you tube
Cha kushangaza kuna watetezi wao kabisa
Nani asiyejua siku hizi Diamond amekuwa agent wa mambo...
Kinachoua mara nyingi ambaye ni muathirika wa vvu sio ugonjwa wenyewe...Bali ni ile hali ya kujua "nina ukimwi"...!
Huenda usingejua usingefedheheka hivyo...
Huwa najiuliza maswali...
Hivi afya...
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila...
MHUBIRI ANASEMA FRM BIBLE
KUNA WAKATI WA HUZUN NA FURAHA
WAKULIMA WAKOROSHO WALIIBIWA SANA WALITESEKA SANA ZAMUYAO KUSIKIA FURAHA YA KAZI ZAO
MUNGU AWAWEZSSHE GOV KUNUNUA HIZO KOROSHO....KAMA...
Kwa mara nyingine tena nawajia tena na mada ndogo ndogo.
Nimesikia mara kwa mara siku za hivi karibuni viongozi kadhaa wakiwaita foreigners kama 'wazungu'. Hii lugha sikumbuki kuisikia miaka ya...
Atieno washes dishes,
Atieno plucks the chicken,
Atieno gets up early,
Beds her sucks down in the kitchen,
Atieno eight years old
Atieno yo.
Since she’s my sister’s child
Atieno needs no pay...
Bill Nas
Hakuna zawadi nzuri kama upendo
Hakuna ahadi nzuri kama vitendo
Kunijali hata nkiwa sina
Ilihali hata bila jina
Dyna Nyange
Kila nikiwaza
Unanifanya mi nikose nakosa raha
Kwa...
Hakika ujana maji ya Moto kuliko neno MOTO lenyewe.
Nimekumbuka Wayback kidogo, tabia yangu ya kila mgeni anaekuja kututembelea nyumbani (kwa wale wanaolala siku kadhaa), ile tukipokea tu Mizigo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara Akram Azizi ambaye ni mdogo wa mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi bado...
Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza.
Nduguzanguni kwanza nawapongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kuhakikisha raia na mali zao wanakuwa na...
Habarini wakuu!
Kwanza naomba mtambue kuwa mie sio mwandishi mzuri sana ndio maana pamoja na ukongwe katika Jamvi hili lakini nina post hazizidi tano. Jana niliposti hii Biashara ya ukahaba...
Habari wana JF,
Wana Kigamboni jana tumepata msiba wa rafiki/ndugu yetu aliyeuawawa na madereva wa bodaboda wa mwasonga.Inasemekana Marehemu alikuwa anaelekea kwenye site yake huko...
Ninasema hivyo kwa sababu hata hayo mabaya yakifika hakuna mtu ambaye atakuwa salama,
Labda nijaribu kutoa mfano, Kuna baadhi ya watu wanasema kwamba nchi yetu inaweza ikaja kukumbwa na balaa la...
Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi...
Natanguliza salamu kwanza wajumbe
Mimi sio mfuasi sana wa jpm na serikali iliyopo, lakini naona Mh. Rais hili kupunguza kazi za mazoea kwenye jiji la Dodoma ungewaunganisha hawa jamaa watengeneze...