Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Kama umefanikiwa kupitia hii michezo ya kubet.. Ama ukafaidika nayo
Toa ushuhuda hapa ilikuaje na pesa ni kiwango gani ulitumia. Ulishinda kiwango gani na ukapata mafanikio gani
Tunaomba ushuhuda wako hapa
Ikiwezekana weka evidence kama vile screenshot etc
Maana naskia wengine wamenunua hadi magari
Karibuni