Mwaka 2018 Benki ya Kilimo itanunua Korosho, mwaka 2019 nani atanunua?

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Dr0Ae_dX4AAsHQf.jpg

Mwaka huu wa 2018 ni Tanzania Agriculture Development Bank ndiyo watanunua zao la Korosho kutoka mikoa yote ambayo wanalima Korosho ambazo zinakadiriwa kufikia tano 200,000

Na kwa mwaka 2019 nauliza ni nani ambaye atanunua hizo korosho baada ya mwaka huu wadau wa korosho kuondolewa katika kununua hizo korosho?
 
View attachment 931369
Mwaka huu wa 2018 ni Tanzania Agriculture Development Bank ndiyo watanunua zao la Korosho kutoka mikoa yote ambayo wanalima Korosha ambazo zinakadiriwa kufikia tano 200,000

Na kwa mwaka 2019 nauliza ni nani ambaye atanunua hizo korosho baada ya mwaka huu wadau wa korosho kuondolewa katika kununua hizo korosho?
Baada ya hapo ADB itakuwa imekufa kwani zamani hujui NBC ndiyo ilikwa inafanya biashara kabula ya nduguyo kuuza kilakitu
 
View attachment 931369
Mwaka huu wa 2018 ni Tanzania Agriculture Development Bank ndiyo watanunua zao la Korosho kutoka mikoa yote ambayo wanalima Korosha ambazo zinakadiriwa kufikia tano 200,000

Na kwa mwaka 2019 nauliza ni nani ambaye atanunua hizo korosho baada ya mwaka huu wadau wa korosho kuondolewa katika kununua hizo korosho?
Huu ndio mwanzo wa anguko la Bank ya Kilimo Tanzania. Tunarudia makosa yaleyale ya kuingiza siasa kwenye uchumi

Hapo maana yake hakuna tena mtu mwingine kukopeshwa na Benki ya kilimo kwa sababu kipaumbele na fedha zote zinaelekezwa kwenye ununuzi wa korosho

Nasikia maneno kwamba zao la korosho ni miongoni mwa mazao ambayo yana syndicate ya hatari sana kwa wafanyabiashara wake. Itakuaje pale watakapocheza na soko na kufanya bei kwenye soko la dunia iporomoke kiasi cha kuisababishia serikali hasara kubwa?

Lakini labda ni kweli Tanzania sasa tunarudi kwa kasi kwenye siasa ya ujamaa ambapo uchumi unatumikia siasa na kwamba sio hasara kuua Shirika la Uma kama hiyo Bank ya Kilimo ili tu kutimiza matamko ya kisiasa, maana mbuzi ni wa Bwana Heri na shamba ni la Bwana Heri pia
 
We jamaa
View attachment 931369
Mwaka huu wa 2018 ni Tanzania Agriculture Development Bank ndiyo watanunua zao la Korosho kutoka mikoa yote ambayo wanalima Korosho ambazo zinakadiriwa kufikia tano 200,000

Na kwa mwaka 2019 nauliza ni nani ambaye atanunua hizo korosho baada ya mwaka huu wadau wa korosho kuondolewa katika kununua hizo korosho?
we jamaa unatia huruma sana
 
Itategemea na mavuno.....kila mwananchi atanunua kilo 2 au tatu. Ole wako usikutwe na korosho za kutosha nyumbani kwako.
Teh teh teh....
 
Dah!, utaratibu huu bana!, unalima mwenyewe
halafu unakuja kupangiwa utaratibu wa kuuza
bidhaa yako!, wakulima tunateseka sana!
 
Nasema ******** amejiingiza kwenye mgogoro sababu wafanyabiashara wananchora tu, usisahau wakulina wa mazao mengine tumeng'ata meno tunamcheki tu.
 
Back
Top Bottom