MBIVU na mbichi kuhusu ukweli wa mali za viongozi wa umma wapatao 946, zinatarajiwa kujulikana wakati wowote kuanzia sasa baada ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kukamilisha ripoti...
Second priest defies Church of England to marry his same sex partner
Luxembourg's prime minister first EU leader to marry same-sex partner
Serbia gets its first female – and gay – prime minister...
Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20.
Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mwezi Beach...
Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska
Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana
Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe...
habari wadau.. najua wengi tunamkumbuka huyu jamaa alivypondwa humu kwenye uzi wa kukataa kuajiriwa usa kwa mshahara mnono kwenye huu uzi kwenye link
B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa...
Habari wakuu, Nianze kwa kuweka wazi kuwa mimi ni mkristo na msikilizaji mzuri sana wa nyimbo za gospel
Nimekuwa nikisikiliza music aina tofauti tofauti na kiukweli kila aina ya muziki...
Nani waliuwa?
Wako wapi wauaji?
Je wako wanafirahia vitafunwa,mvinyo,nyamachoma na bia uraiani?. Au wako wanatumikia adhabu?.
SAUTI YA DAMU ISIO NA HATIA INAITA TOKA MAVUMBINI, NI NANI...
Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga...
Moja kwa moja kwenye mada,nawapongeza sana wanahabari wote TZ.
Mmoja wao akipata tatizo uwa wanasimama pa1 bila kujali tofauti zao,wanapiga kelele hata km hakuna majibu chanya.
Uliwahi kuwaza...
Katika gazeti la Daily News la tarehe 12 November 2018 kuna tangazo kutoka TRA kuwa vifaa vinavyotakiwa kutumika kwa ujenzi wa reli ya Standard Gauge ambavyo vipo bandarini vitapigwa mnada endapo...
Kwako mheshimiwa rais Hongera kwa juhudi ulizozifanya za kununua korosho nakupongeza
wakulima wa korosho wanafurahia sana kauli zako lakini wanasikitika kwa kukosa korosho za kukuuzia ilihali...
Ngoma ikivuma sana hupasuka... Lakini vile vile hakuna marefu yaso na ncha SIO MAPANA! MAREFU...!!!
Idara ya USALAMA wa taifa ni idara nyeti nathubutu kusema kuliko zote linapokuja suala la...
Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi...
wakuu habari zenu,,
Natumia TECNO toleo la zamani kidogo (TECNO N8), tatizo lake kwenye Camera ni pale ninapotaka kupiga picha ID ,mfano voters ID, NIDA, Driving Licences n.k kwa ajili ya...
Malengo ya TAKUKURU kwa kiasi kikubwa yanazidi kufanikiwa, na kwa hakika yanalisaidia TAIFA.
Lakini SHIDA kubwa ya TAKUKURU ni BAADHI ya WATUMISHI wake kujiona KAMA wako JUU YA KILA KITU. Sijajua...
habari wakuu ninayo heshima kubwa kuomba msaada kwa mdau yoyote mwenye ndugu/jamaa katika miji ya lusaka ,kitwe na ndola ili njaribu kumuulizia mambo fulani ya kibiashara!nitashukuru wakuu
Baada ya jana Rais Dr Magufuli kutangaza kuwa sasa hakuna mfanyabiashara yoyote atakayeruhususiwa kununua korosho na badala yake ni Serikali ndiyo itakayonunua korosho zote kupitia Benki ya Kilimo...
A. UTEKWAJI MOTO
Hii ni aina ya ' Utekwaji ' ambapo Tajiri akiombwa tu Hela na ' wanaozitaka ' waishio Baharini halafu akakataa basi atavamiwa tu Saa 11 za Alfajiri, atapotea kwa muda na...
Nipeni maoni yenu,kama mjuavyo wanaume wanakufa mapema kabla ya wake zao,mama zetu wanaishi mpaka wanazeeka,watoto wa kazi imekuwa issue hawapatikani siku hizi,je ukiwa Kama mwanaume mtoto wa...