Habari ya jumapili wana JF
kabla sijaileta hoja ya leo naomba kwanza wale ambao hawana interest na mambo ya dini ama hawapendi kujifunza mambo ya ziada huu uzi hauwafai wala hawatakiwi kuwepo...
Kuna tatizo kubwa sana pale mzani wa Mikumi, Askari wa usalama barabarani ni wengi utafikiri wanakagua meno ya tembo kila lori lazima wafungue mlango wagari kiasi cha kusababisha foleni kubwa sana...
Mimi nimeanza kutumia line ya Tigo miaka kadhaa sasa ila imekuwa ikitokea mara kwa mara kuwa nakatwa Tsh 100 kila ninapoacha salio endapo ntakuwa sijajiunga nikiweka Tsh 50O au 1000 kama...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited katika eneo la Dege Beach Kigamboni...
Ivi karibuni dada mmoja alienda katika hospitali moja ya manispaa ya TEMEKE, kwa ajili ya matibabu.
Hasa ukizingatia yeye alizaliwa na condition ya sickle cell huitaji
matibabu ya mara kwa...
Tarehe 13/11/2018 Mfanyabiashara maarufu nchini Bw. ROSTAM AZIZ alifika Ikulu Jijini Dar es Saam kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI kwa kazi nzuri...
Katika kupitia orodha ya wenye vyeti feki nimekutana na jina la mfanyakazi tajwa
810 Shirika la TIJA Flora Richard Swai anafanya shirika la TIJA hili lipo wapi? Shughuli zao hasa ni nini?
Wakati watu wakiendelea na propaganda kuwa sasa hivi nchi ya Tanzania imekuwa ya kizalendo zaidi!naomba nigusie tu hili swala la ID jinsi linapoleta karaha na usumbufu hasa kitambulisho cha Taifa...
Kufuatia mradi wa ujenzi wa SGR nchini kumekuwepo faida mbalimbali kimuondominu na kiuchumi katika ukuaji wa sekta nyingi nchini.
Katika taarifa iliyotolewa tarehe 14 Novemba 2018 na Mkurugenzi...
Katika Magazeti ya leo tarehe 15/11/2018, wameeleza kuwa gharama za kusafirisha mizigo kupitia SGR ( Train ya umeme) utaweza kupungua mpaka asilimia 40. Nkaanza kwa kujiuliza, hivi waTanzania...
Ni kipindi cha mwisho wa mwaka sasa nilikuwa nashauri kwanini Wachungaji na Washekhe wawe ktk STAND kuu ya Ubungo kuombea mabus yanayotoka kuanza safari ili kukinga ajali za mwishoni mwa mwaka...
Tetesi zinasema kuna zoezi la kukamata wavuvi haram huko wilayani SENGEREMA mkoa wa Mwanza ndugu yangu alieko huko katika kijiji cha nyakahako anasema zoezi linaendesha kionevu sana kwani...
Kisa kiko hivi:
Kuna familia inaishi kwenye nyumba ya majani (imeezekwa kwa viungo). Jana mchana saa 8, ulizuka moto kenye paa lao.
Ukazimwa. Baada ya saa kama 10, ukazuka moto tena kwenye...
Hawa jamaa siwaelewi kabisa. Mimi nina ving'amuzi viwili, na vyote vimeunganishwa kwenye tv yangu.
Kinachoamua nilipie kipi, ni huduma nayohitaji kwa muda huo.
Nikihitaji mipira ya ndani...
Ni wakati sasa kama taifa tukaangalia uwezekano na umuhimu wa kuwa na Limited Liability Partnership.Hii ni kuiwawezesha wananchi kushirikiana katika ujenzi wa uchumi wa viwanda
Tujadili
Adhabu ya viboko haijaelekezwa kwenye kila kosa bali baadhi ya makosa yakiwemo makosa makubwa ya Kinidhamu na yale yenye sura ya kijinai
Hayo yamesemwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri...