Maisha bila kumoka

Maisha bila kumoka

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
7,332
Reaction score
9,542
Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote,

Maisha bila bia yanawezekana..
Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend.

Now jioni napoteza mda na movies tu..

Wakuu tupeane njia za kuacha kabisa hii kitu if ipo.

....
 
Inawezekana kuna mawili, Unaumwa au Umeyumba kifedha tu (kitaalamu kufulia tunaita UMEZIMIA ila haujafa bado, au pochi limewaka TAA NYEKUNDU)[emoji18]

Kuacha bia, kitu ambacho pekee kinasaidia mtu hata ulale usiku baada ya stress za Tanzania, hasa kwa uongozi huu, kila siku ma BREKING NYUZI yapo kwenye msururu wa foleni kupishana.

Halafu isitoshe ADMINI kule magogoni nae hatumuelewi elewi maamuzi yake. Sidhani mkuu, utarudi tu tena kwa kiwango cha SGR[emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Kuacha ghafla sio rahisi anza kwa kupunguza idadi za bia unazokunywa

Na kama ulikua unakunywa kila leo kaa baada ya siku mbili kunya kama ulikua unakunywa kwa siku sita anza kupunguza idad ukiweka nia utaweza

Mungu akuwezeshe uweze kuacha kabisa
 
Sasa kodi nani atalipa mkuu??

Lipa kodi Jiwe nchi isimshinde
 
Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote,

Maisha bila bia yanawezekana..
Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend.

Now jioni napoteza mda na movies tu..

Wakuu tupeane njia za kuacha kabisa hii kitu if ipo.

....
Hizo ndo faida za kufilisika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuacha ghafla sio rahisi anza kwa kupunguza idadi za bia unazokunywa

Na kama ulikua unakunywa kila leo kaa baada ya siku mbili kunya kama ulikua unakunywa kwa siku sita anza kupunguza idad ukiweka nia utaweza

Mungu akuwezeshe uweze kuacha kabisa
Mkuu huwezi amini nimekaa one week bila kugusa kinywaji,nimejitahidi sana.
Maana ilikuwa kila siku ni kunywa tu.

Yani bora nisinywe kabisa,maana nikionja moja tu basi ni tatizo
 
Mkuu huwezi amini nimekaa one week bila kugusa kinywaji,nimejitahidi sana.
Maana ilikuwa kila siku ni kunywa tu.

Yani bora nisinywe kabisa,maana nikionja moja tu basi ni tatizo
kama umeweza then shikilia nia yako utafanikiwa
 
Kwa utawala huu tumejikuta wengi tunamrudia Mungu bar wameshanimiss
Mkuu siku hamna kiti mabapa nayo yanahusika tu,sema ndo now iwe weekend tu
 
Mkubwa mimi nilikuwa nawaka Monday to Monday,kama ijumaa mbili hivi zilizopita nipata ajali mbaya sana ya gari pale kwenye mataa ya Tegeta/Binafsi nilishaona kifo ni Mungu tuu amenitoa kwenye mzinga ule maana nimetoka sina hata mchubuko nilikuwa na vijana wangu wawili wa kazi nao wazima kabisa.Kwa kumshukuru Mungu nimeamua kuachana kabisa na mtungi ni wiki ya pili sijawaka na sijutii kabisa.Nimehisi kuna jambo sijalikamilisha/watoto wadogo sana so nimerudishwa/nimenusurika kwaajili ya familia kwa ujumla.So mkubwa kuacha mtungi ni maamuzi binafsi yenye kutoka moyoni......
 
Wengine tuna vesha 24/7 na tko ngangari mbn

Ova
 
Mkubwa mimi nilikuwa nawaka Monday to Monday,kama ijumaa mbili hivi zilizopita nipata ajali mbaya sana ya gari pale kwenye mataa ya Tegeta/Binafsi nilishaona kifo ni Mungu tuu amenitoa kwenye mzinga ule maana nimetoka sina hata mchubuko nilikuwa na vijana wangu wawili wa kazi nao wazima kabisa.Kwa kumshukuru Mungu nimeamua kuachana kabisa na mtungi ni wiki ya pili sijawaka na sijutii kabisa.Nimehisi kuna jambo sijalikamilisha/watoto wadogo sana so nimerudishwa/nimenurika kwaajili ya familia kwa ujumla.So mkubwa kuacha mtungi ni maamuzi binafsi yenye kutoka moyoni......
Hongera sana mkuu,ila ukienda bar kunywa mkuu avoid sana kudrive.

Ni hatari sana mkuu,bora utumie bajaj au tax.

Sometimes unapata tatizo ili mungu akuepushe na matatizo makubwa.

Hongera kwa kuacha pombe aisee
 
Shukrani sana mkuu,ni kweli kabisa upo sahihi.....
 
Back
Top Bottom