This platform is no longer a place "where we dare to talk openly"

This platform is no longer a place "where we dare to talk openly"

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Whats up guys!
As the heading above expresses itself, this place can no longer regarded as a place where people with different views and opinions can interact and express what they have openly. In less than 4 days two of my threads have been removed without any reason just because they are against the gvt. I would like to tell Mr Max that the way he has chosen to run this site is against the motto of JF (where we dare to talk openly). Remember this isn't CCM's forum and if you wan't to run the forum as per CCM directives just be open and stop beating around the bush. You are pissing people off.

Siku moja moja tuna change lugha au sio mazee...
 
Wewe ulikua bado unaamini kuwa hii ni sehemu ambayo unaweza kuongea unachojisikia?
Kama ulikua unaamini hivyo mpaka sasa pole yako aisee.
Kwasasa sidhani kama Jamii Forums ni sehemu salama sana,hakuna kisichokua na bei.
Kila kitu kina bei yake,naamini WATU walishafikia bei ya kuweza KUINUNUA Jamii Forum.
 
aisee kama kweli kuna watu walipanda dau bas naacha kuisema serikali ya jiwe kuanzia sasa
 
Back
Top Bottom