Mwenzetu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 550 Reaction score 195 Nov 17, 2018 #1 Wadau naombeni msaada wa kuingia kwenye app ya ITV kupitia simu ya mkononi. Nimefanikiwa ku download ila najaribu kuifungua haifunguki. Natanguliza shukurani. Wasalaam. Mwenzetu
Wadau naombeni msaada wa kuingia kwenye app ya ITV kupitia simu ya mkononi. Nimefanikiwa ku download ila najaribu kuifungua haifunguki. Natanguliza shukurani. Wasalaam. Mwenzetu