Waandishi wa Habari mnaoenda katika Press Conferences za Cyprian Musiba sidhani kama mko sawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,847
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu nchini Tanzania kama na Wewe pia siyo mmoja wa wale wale Wendawazimu.

Yaani Waandishi wa Habari wa Tanzania mmekosa kabisa ' news tips ' za maana na zenye kujenga nchi itutoe Kimaendeleo hapa tulipo na mnakazana kwenda kumsikiliza Cyprian Musiba akiwa anatiririka na anaserereka ' uharo ' tu na nyie mnamsikiliza?

Hivi labda niwaulizeni nyie Waandishi wa Habari ' hopeless ' kabisa tokea muanze kumfanyia ' coverage ' Cyprian Musiba mmeona kuna anything constructive coming out his Pig like mouth? Anawapeni nini hadi mnajipendekeza Kwake?

Hivi tukisema kwamba pengine wengi wenu ambao huwa mnaenda kumsikiliza Cyprian Musiba labda ' Mafaili ' yenu ya Uwendawazimu uliowatukuka yameshatangulia mapokezi Hospitali ya Vichaa ya Milembe Mkoani Dodoma tutakuwa tunakosea?

Badilikeni upesi mnatia aibu na karibuni mtachokwa na kudharaulika.

Nawasilisha.
 
Hatuna waandishi wa habari Tanzania. Kila siku wanaandika kuwa Polisi inaajiri form iv failures huku wakijisahau kuwa wao wanafanya upuuzi zaidi ya hao wanaowaita failures. Hivi na akili yako unaweza kutoka kwenda kusikiliza upuuzi kama huo wa Musiba. Halafu na Serikali iko kimya utadhani wamekubali huyu Zuzu awe msemaji wa Serikali!!
 
Jamaa umeona Mbali sana! Sa hao ndio aina ya wahandishi wa nchi hii! Wanashindwa kuupa coverage msiba wa dongo wa Mbeya.... Wanamskiza Musiba!

Mkuu nimewachoka sasa rasmi Waandishi wa Habari wa sasa wa Tanzania na nadhani kuna tatizo kubwa linaloanzia katika kupatikana Kwao, Elimu wanayoipata na pengine hata Wakufunzi / Wahadhiri wao wanaowapika. Nafuatilia sana Media za nchi mbalimbali katika ile safari yangu ya kuelekea kuwa ' Media Analyst ' wa uhakika na niliyetukuka ila kila nikiitizama Media Indusrty ya sasa ya Tanzania na nikiifananisha na zingine ambazo kila uchao nazifuatilia huku zingine nikishirikiana nazo kwa namna moja au nyingine huwa natamani hata ' Kumizengopinda / Kulia ' kwani inasikitisha sana.

Kamarada ( Comrade ) wangu na Kaka yangu katika ' Tasnia ' hii ya Habari, Mawasiliano na Uhusiano Pascal Mayalla na wale wengine waliomo humu nadhani umefika muda sasa wa Sisi ama kuamua kujitupa moja kwa moja kuibadili ' Tasnia ' hii ambayo kwa bahati nzuri inaheshimika mno Ulaya, Asia, Middle East na hata Afrika kama Kenya, Uganda, Zimbabwe na Afrika ya Kusini irudi katika hadhi yake kama zamani au basi kuanzia sasa tujitoe huku na tujikite na mambo mengine kama ya Kulima au Kubeti tu michezo tujue moja kwani inachosha na inapandisha mno hasira / jazba.

Hivi ' Mtani ' wangu wa Kihaya na Mzee wangu kabisa Kajubi Mukajanga wa MCT, akina Mengi na MOAT yao na wale sijui UTPC bila kuwasahau ' Mtani ' wangu mwingine wa Kihaya Balile na TEF yao haya ' mazingaombwe ' ya Media za Tanzania wanayaona kweli? Je wameridhika nayo?
 
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu nchini Tanzania kama na Wewe pia siyo mmoja wa wale wale Wendawazimu.

Yaani Waandishi wa Habari wa Tanzania mmekosa kabisa news tips za maana na zenye kujenga nchi itutoe Kimaendeleo hapa tulipo na mnakazana kwenda kumsikiliza Cyprian Musiba akiwa anatiririka na anaserereka ' uharo ' tu na nyie mnamsikiliza?

Hivi labda niwaulizeni nyie Waandishi wa Habari ' hopeless ' kabisa tokea muanze kumfanyia ' coverage ' Cyprian Musiba mmeona kuna anything constructive coming out his Pig like mouth? Anawapeni nini hadi mnajipendekeza Kwake?

Hivi tukisema kwamba pengine wengi wenu ambao huwa mnaenda kumsikiliza Cyprian Musiba labda ' Mafaili ' yenu ya Uwendawazimu uliowatukuka yameshatangulia mapokezi Hospitali ya Vichaa ya Milembe Mkoani Dodoma tutakuwa tunakosea?

Badilikeni upesi mnatia aibu na karibuni mtachokwa na kudharaulika.

Nawasilisha.
Umenena vizuri.Msiba kujifanya ni msemaji wa serikali ni uchochezi.
 
Hatuna waandishi wa habari Tanzania. Kila siku wanaandika kuwa Polisi inaajiri form iv failures huku wakijisahau kuwa wao wanafanya upuuzi zaidi ya hao wanaowaita failures. Hivi na akili yako unaweza kutoka kwenda kusikiliza upuuzi kama huo wa Musiba. Halafu na Serikali iko kimya utadhani wamekubali huyu Zuzu awe msemaji wa Serikali!!

Huwa napenda sana kukutana na Watu ' makini ' wa ' Kifikra ' kama Wewe humu Jamvini JamiiForums na mnaonielewa.
 
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu nchini Tanzania kama na Wewe pia siyo mmoja wa wale wale Wendawazimu.

Yaani Waandishi wa Habari wa Tanzania mmekosa kabisa news tips za maana na zenye kujenga nchi itutoe Kimaendeleo hapa tulipo na mnakazana kwenda kumsikiliza Cyprian Musiba akiwa anatiririka na anaserereka ' uharo ' tu na nyie mnamsikiliza?

Hivi labda niwaulizeni nyie Waandishi wa Habari ' hopeless ' kabisa tokea muanze kumfanyia ' coverage ' Cyprian Musiba mmeona kuna anything constructive coming out his Pig like mouth? Anawapeni nini hadi mnajipendekeza Kwake?

Hivi tukisema kwamba pengine wengi wenu ambao huwa mnaenda kumsikiliza Cyprian Musiba labda ' Mafaili ' yenu ya Uwendawazimu uliowatukuka yameshatangulia mapokezi Hospitali ya Vichaa ya Milembe Mkoani Dodoma tutakuwa tunakosea?

Badilikeni upesi mnatia aibu na karibuni mtachokwa na kudharaulika.

Nawasilisha.
 
Wasipoenda watakosa habari ya kuandika,watakosa pesa pia

Kwahiyo Habari ya Kuandika katika nchi yenye ukubwa kwa Square Meters karibia 940,000 na ambayo Wananchi wake wana matatizo lukuki / mengi ambayo yanahitaji kuwa ' addressed ' na Wao ( Waandishi wa Habari ) Kwao Cyprian Musiba ndiyo News na Chanzo chao Kikuu cha Kimasoko na Mauzo?

Samahani Mkuu Wewe ni huyu huyu Member Jolie Jolie ninayemfahamu Mimi na Rafiki yangu sana humu Jamvini au?
 
Habari kama hizo za kipuuzi puuzi ndio zinabamba sana kwenye jamii siku hizi, kwahiyo watu wa habari yaani waandishi nao wanafata upepo wa jamii bila kujua wanajipotezea heshima yao na kudhalilisha taaluma na weledi wao...

Habari kama hizo walitakiwa wazirushe watu wa udaku kama wale wanawaita Shilawadu
 
Njaa inawasumbua mkuu, kifupi Musiba hayuko peke yake bali ana backup ndio inafanya waandishi wakimbilie kwenye press zake za hovyo. Njaa ikikimbilia kichwani ndio matokeo yake hayo, moja ya ugonjwa unaowasumbua watanzania na wengi wanaojiita wasomi ni njaa kukimbilia kichwani..
 
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu nchini Tanzania kama na Wewe pia siyo mmoja wa wale wale Wendawazimu.

Yaani Waandishi wa Habari wa Tanzania mmekosa kabisa ' news tips ' za maana na zenye kujenga nchi itutoe Kimaendeleo hapa tulipo na mnakazana kwenda kumsikiliza Cyprian Musiba akiwa anatiririka na anaserereka ' uharo ' tu na nyie mnamsikiliza?

Hivi labda niwaulizeni nyie Waandishi wa Habari ' hopeless ' kabisa tokea muanze kumfanyia ' coverage ' Cyprian Musiba mmeona kuna anything constructive coming out his Pig like mouth? Anawapeni nini hadi mnajipendekeza Kwake?

Hivi tukisema kwamba pengine wengi wenu ambao huwa mnaenda kumsikiliza Cyprian Musiba labda ' Mafaili ' yenu ya Uwendawazimu uliowatukuka yameshatangulia mapokezi Hospitali ya Vichaa ya Milembe Mkoani Dodoma tutakuwa tunakosea?

Badilikeni upesi mnatia aibu na karibuni mtachokwa na kudharaulika.

Nawasilisha.
Mkuu umenena kwa lugha
 
Back
Top Bottom