The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,710
twende wote..leo nna kiumnhh ndio huyu nilitaka kuwa awe Rais ajae?? ngoja nikanywe balimi zangu....
twende wote..leo nna kiu
twenzetu mamii..lol
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amezindua kitabu kiitwacho "Heko Rais Magufuli Hapa Kazi" kilichoandikwa na Nkwazi Mhango ambaye ni Mtanzania aishie nchini Canada. Source : HabariLeo Habarileo
sasa anaishi Canada anajuaje uhalisia uliopo Tanzania...Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amezindua kitabu kiitwacho "Heko Rais Magufuli Hapa Kazi" kilichoandikwa na Nkwazi Mhango ambaye ni Mtanzania aishie nchini Canada. Source : HabariLeo Habarileo
sasa anaishi Canada anajuaje uhalisia uliopo Tanzania...
Ukoloni mamboleo in a move
Ndo wasomi wazee wetu labda amepewa tenda kusifia na kujaribu kusafisha kama kina Cyprian Musiba.sasa anaishi Canada anajuaje uhalisia uliopo Tanzania...