Nafanyaje kujua mmiliki wa chombo cha moto kama nmeshika namba zake

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Wakuu,kuna mk*nd* mmoja kagonga ndinga af kakimbia ila nmemfotoa gar so namba yake nnayo hapa,nafanyaje kumjua huyu mtu
 
Mbn una hasira sana boss ..? Kwan hiyo ndinga umeazima au? Pita garage kaiweke sawa mjini usipokuwa makini UTAGONGWA nyuma kila siku
Hata manji akitokewa na tatzo kama hili lazma awe na hasira kiongoz,..miliki chombo ndo utajua uchungu wake
 
1 Unahitaji namba za gari
2 Aina ya gari mfano:- Toyota vitz
3 Rangi ya gari
4 Dereva kama ulimuona wa kike au kiume.
5 Peleka hizo taarifa zote kitengo cha askari trafik na watafatilia.
Watanzania wengi hawajui hili ila unaweza peleka copy kwa mwanasheria wako( wapo wanasheria maalumu wa hizi kesi)na kufungua kesi ya madai. Hii kesi ya madai 1 madai ya kutengezewa gari lako. 2 madai ya matibabu. 3 madai ya bima yake kukulipa mhusika(ulie gongwa) kwa usumbufu na harasa uliopata.
Kuna watu wanapata ajali kwenye mabasi au daladala utawasikia kulalamika na kwenda hospitali na kujilipia wenyewe huku wamesahau kuwa hayo magari yanakatiwa bima. Hii bima sababu yake ikitokea ajali basi wahusika wapatiwe haki yao kutoka kwa bima, ila elimu hii sio wengi wanao ijuwa. Kuna watu wanapata mpaka million 20 na kuna jamaa yeye alipata million 200

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Asante kiongozi,mngekua watu kama wew 100 tuu,jf ingebadilika

Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom