Viongozi Wetu Muwe Na Human Face Mjue Nchi Ni Yetu Sote.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,965
28,455
Wito kwa viongozi wetu watukufu , tuzidi kukumbushana tu muwe na human face ili tuilinde na kufurahia nchi yetu vizuri.
hivi kuna mstaafu atamaliza pension yake ndani ya miaka kumi na mbili kweli?
Hao wastaafu wenyewe wakistaafu wakijivuta ni miaka mitano kwaheri dunia.
Sasa kuwalipa hiyo asilimia 25 mnakua hamuwatendei haki kabisa wala sio vizuri.
kama waliwatumikia miaka yote halafu mnawafanyia hivo basi Mtalipwa hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom