JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Mahmoud Kambona amesema, watumishi wasio na maadili ya kazi Wilayani humo wajiandae kuachia ngazi kutokana na mfumo na aina ya utawala uliopo.
“Watumishi wasiowaadilifu mahabusu itawahusu na wakitoka watapoteza kazi.. naomba watumishi wa Kiteto tubadilike tena kwa haraka ili tuendane na Serikali ya sasa ambayo haitaki wananchi walalamike" Alisema DED Kambona