elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Mtanzania mwenzetu anayefahamika kwa Jina la Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani, aliwahi kuishi Dom na kusoma Mzumbe Sec, kwa wanaojua zaidi chanzo na taratibu za mazishi watujuze, R. I. P kaka wewe mbele sisi nyuma.