Kuna habari niliiona katika television, kama sikosei ni wahudumu Wa bar akiwemo na mlinzi kwa idadi ni kama 8 hivi.
Katika Maelezo yao walidai kuna mteja aliwapa biskuti tamu,
Kwakweli taarifa...
SHOGAAA eeehh haya sasa sema mwenyewe, ulijifanya hodari wa kupakua kumbe kupika kwenyewe huwezi, haloooo eeeehhh na bado, mwaka ndo huooo unaisha endelea kumsifia mwanaume hendsamu wakati wenzako...
Habari wanaJF!
Ninaandika uzi huu si kwa lengo la kukashifu imani yangu, lakini ni kutimiza uhuru wa maoni hasa nikizingatia kuwa taasis ninayoizungumzia ni taasis ya umma (kwa muktadha wa...
Hakuna Kiongozi wa Kiafrika aliyebabakia Muzungu kama Nyerere, Mwalimu Nyerere alikabidhi sovereignty ya nchi yetu kwa Muzungu, hakuna nchi inayotegemea misaada ya Muzungu kama Tanzania yetu...
Basi la Kampuni ya BM Coach linalofanya safari zake kati ya Morogoro kwenda Moshi limepata ajali leo Novemba 16, 2018 wakati linashuka katika mteremko maeneo ya mto Wami kabla ya daraja.
Kwa...
Habari wakuu! Sijui kama ni jukwaa sahihi Kwa Uzi wangu huu,haya makampuni ya simu yamekuwa yakitumia wateja wao meseji za kushawishi kucheza bahati nasibu mbali mbali mfano ni hii"WOW umetisha...
Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiutamaduni kwa kumlinda, kumjamiisha na...
wakati tunaelekea mwisho wa mwaka nimeona nifanye jambo kwa familia ya jf nitakuwa Natoa Huduma za kuchimba makaburi na kuandaa maiti kwa ajili ya kuzika Huduma hii ntaifanya bila malipo yoyote...
Mh. Rais Ndugu John Pombe Magufuli. Kwanza kabisa napenda nianze na kukupongeza kwa kazi kubwa na ngumu unayoendelea kuwafanyia watanzania. Mh. Rais kwanza kabisa napenda niongee kwa heshima kubwa...
Ukiwa na pesa za Urithi utafanya biashara ya kununua Samaki sato na sangara DSM na kuwapeleka kuwauza Mwanza lakini baada ya muda itaonekana ni Biashara yenye hasara kubwa kwa sababu sangara na...
Hakika nashindwa kuelewa jinsi Vyama vya Wafanyakazi vilivyoshiriki katika zoezi zima la kutengeneza Sheria ya kukokotoa Mafao ya Wastaafu.Kwa akili ya kawaida kumlipa Mstaafu Asilimia 25 ya Mafao...
Ni aibu na fedheha kwa Dawasco yani wiki ya pili hii maji hamna huku Tabata Balakuda mtaa wa Saibaba hadi imefikia ndoo moja ya maji kuuzwa 700 huku ndogo ikuzwa 500 alafu wakati huo wafanyakazi...
*Mbunge* wa Tanzania akimalza muda wake anataka apewe *kiinua mgongo* chake chote kwa mkupuo na wamejiwekea utaratibu huo kisheria
Mbunge huyo huyo ametunga sheria kwamba *Mstaafu wa Tanzania*...
ZIJUE SHERIA ZA MITANDAO TANZANIA NA AFRIKA KWA MAPANA YAKE
Na
Mfaume Hassan Hamadi
Mwanafunzi wa shahada ya usimamizi wa sheria, UDSM.
Matumizi ya intaneti na mitandao yakijamii yamekua...
Ukimkwepa mzungu kwenye utalii utakutana nae pale ambapo unahitaji kuweka rada nne nchi nzima kimkakati.
Ukimkwepa mzungu kwenye suala la kilimo cha kisasa, utakutana nae kwenye suala zima la...
Jana nimetazama documentary flani inayohusiana na dola iliyowahi kuwa kubwa sana dola ya Ottoman ambayo ilianza kama kabila dogo la wafugaji ikakua na kuwa dola moja kubwa ambayo mpaka leo...
Nilikua napitia hiyo video jinsi muswada wa mafao ulivyokua, sidhani kama serikali inapenda wananchi wake kwa kuwa haipendi kukidhi haja ya wananchi kinyume chake inataka ijinufaishe yenyewe hii...
wandugu nimetafuta sana bila ya mafanikio nyaraka hizi: kanuni za kudumu kwa utumishi wa umma, 2009 (standing orders for the public service, 2009) na kanuni za utumishi wa umma, 2003 (public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.