Hivi nikiulize..
Huna urafiki na wakala hata mmoja wa tigo pesa na m pesa, hivi siku ukibanwa uko nanjilinji ndani ndani huko unafikiri utasaivive vipi?
Huna urafiki na mwenye duka au kijana...
Habari wadau.
Kuna kijana wangu amekesha kwenye mtandao akitafuta "Broadcasting and Information Policy za mwaka 1972, 1993 na 2003" ni mwanafunzi wa Diploma chuo fulani hapa Dar.
Anatakiwa...
Naomba kuwalalamikia SUMATRA kuwa route mpya mliyoanzisha itatuumiza. Kusema mabasi ya Mbezi-Makumbusho yakitoka Makumbusho yapitie Goba ni kutuumiza sisi wa Kimara.
Naomba mfikirie upya
Kwa hali ilivyo huko Goba nahisi sumtra kazi imewashinda. Hali ya usafiri inahatarisha Afya na Usalama wa Raia
Haswa kwa majira ya Asubuhi na jion, usafiri ni karaha. Hi imesababishwa na mpangilio...
Wana Mtwara na wale wote wa maeneo ya kusini tupeni updates za ujio wa madinga huko Mabarabarani na Maghalani pia
Hali ni shwari...?
Na shughuli zinaendeleaje..?
Kama una picha yoyote sehemu...
Kweli na sasa naanza kuamini kuna vitu vinaakujitokeza sasa....hili sakata LA KOROSHO lina SURA nyingi....mkulima,dalali,mfanyabiasha Wa kati,serikali,utaifa,fedha,Soko LA KOROSHO, KOROSHO YENYWE....
Kama kuna nchi au eneo hapa Duniani ambapo Polisi wao wanaongoza kwa Vituko na Mazingaombwe basi ni hapa ambapo naishi mwaka wa 11 sasa Kisiwani Puerto Rico. Naomba tu na Polisi wa huko Nyumbani...
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mnolela kilichopo katika halmashauri ya Wilaya ya Lindi ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati alipokuwa akimsaidia msichana aliyekuwa akibakwa...
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAWAVALIA NJUGA WATUMISHI WA SERIKALI WANAOKWAMISHA UPATIKANAJI WA MASLAHI YA WALIMU*
18 Novemba 2018
Katika uzinduzi wa Jukwaa la Walimu wazalendo Halmashauri ya...
Karibu katika mjadala huu.Mimi ni Pwagu nduguye Pwaguzi;
Kumekuwa na kamsemo maarufu kahusucho umaskini wa kifikra.wengi wameudadavua msemo huu nami leo nataka kuwa mmoja wa wadadavuzi
Fikra za...
Katika kuhalalisha uchukuaji wa mafao ya mfanyakazi aliyechangia na kufa mara tu baada ya kustaafu, kama mwezi mmoja hivi, Mkurugenzi wa Sheria wa Mfuko wa Jamii Onorius Njole, amesema kwamba...
ndugu mkuu wa mkoa wa DSM kumekua na tabia ya baadhi ya watumiaji wa sigara kutumia kilevi hicho kwenye umati mkubwa wa watu hasa vituo vya daladala na mabasi, sokoni na mitaa maarufu kwa...
Habari wakuu..
Mojakwamoja, Naongea nikiwa na uthibitisho kutoka kwa wazee fulani wastaafu wakilalamika kuwa fedha zao mpaka sasa hawajalipwa ni mwaka sasa.
Wanadai yakwamba wamekuwa wakifatilia...
Huyu ndiye mtu mashuhuri Zaid aliyewahi kutokea duniani na kuacha athari kubwa kwa maisha yetu,yeye ndiye mzee wa nyakati,unaweza kumwita yoshua bar Joseph Ana majina mengi Sana
The Almighty...
Jamani uhamiaji mkoa Mbeya wanatoa passport acheni ujeuri yaani mnachafua ofisi kwa viburi vyenu. Mnakalisha watu kusubiri passport kwa masaa mengi pasipo sababu mkiulizwa kwa nini mnakuwa wakali...
Hakika,
Kuna msemo mmoja wa kiingereza ambao tafsiri yake isiyo rasmi ni " Ni ujinga kufanya jambo moja kwa njia ile ile halafu ukategemea matokeo tofauti"
=======
Wewe ni mwalimu na siyo...
Habari zenu wakuu,
Mwisho wa mwezi huu naelekea SA,hivyo naomba kujua yafuatayo;
Nauli from TZ to Harare kwasasa.
Nauli from Harare to Capetown kwasasa.
Pia ningeomba kujuzwa changamoto za...
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa kamata na kuwachukulia hatua wale wote wanaoendesha makundi ya ngono na wanaoweka picha za uchi na kujiuza kwenye mitandaoni ya kijamii.
Akizungumza na...
Habari za jumapili wana JF,
Naomba kujuzwa hili kanisa hapa Maeneo ya riverside,mapadri,masista na waumini kuingia Pekupeku ni version gani ya RC?Mapadri Na masista wake wanatoka mashirika...
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.