Walianza European Union, wakaja World Bank kisha Denmark na Sweden wanajiandaa bado Finland hivi hatujagundua nini tatizo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,000
2,000
Kwa ninavyowajua Wazungu ukiona tu wanaanza Kukutilia mashaka jua ya kwamba kuna mahala umekosea au unakosea mno na kwamba siku si nyingi wanaweza wakakuacha ili upambane mwenyewe na kwa ninavyojua hatuna ' ubavu ' wa Kijitawala wenyewe bila ' misaada ' ya Wazungu.

Kuna Mtu mmoja mpaka sasa hivi najiuliza anatumia ' Kizizi ' gani ambacho kinamfanya ' Bosi ' wake Taifa ' asimtumbue ' hapo alipo kwani siyo ' Siri ' tena kama kuna Mtu ambaye ameshaigharimu na anaendelea kuigharimu nchi hii ' dearly ' ni huyo huyo na nasikitika hadi sasa hivi bado ' anapuyanga ' tu na naambiwa hata juzi au jana alionekana Mkoa wa Jirani tu hapa usio wa Bahari ila una Bwawa Kubwa mno la Mindu.

Kwahiyo mnataka kusema kuwa Europena Union, World Bank, Denmark na Sweden wote hawa ni ' Mapopoma ' na wamekurupuka tu katika kusema yale yaliyomo ' mioyoni ' mwao na yanayowasibu? Namalizia kwa kusema ' Wazungu ' huwa hawakosei na hawabahatishi na kuna uwezekano mkubwa kuwa huu ni mwanzo tu ila kuna mahala ambapo ' watatuweza ' na ndipo mtatuheshimu Watu ambao kila mara tunadiriki kutumia mida yetu kwa nia njema tu wenye msukumo wa Kizalendo ' Kuwashaurini ' ila mnatudharau lakini mnawaamini ' Wanafiki ' mlio nao jirani ambao Kimsingi ndiyo wanawapelekeni ' chaka mbaya ' kabisa.

Yangu macho tu ila tujitafakari kwani bado hatujachelewa!

Nawasilisha.
 
BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,472

Tujitafakari!
Eti kuna mahala tunakosea!!Kwani wao ni malaika hawakosei?

Si kila wanachokitaka wao hata kama hakiko sawa kifuatwe .
 
MUSHEKY

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,021
2,000
wanaowaza kwa makalio tu ndio wanaweza kuamini kwamba hatuna uwezo wa kujitawala

kwani marekani na uchina zimefika hapo zilipo sasa kwa kutegemea misaada?

Ifike mahali hata historia ya form two itusaidie kutambua kwamba hizo wanazoziita structural readjustment programs ambazo ni pamoja na hiyo misaada ya kuilemaza afrika, viliandaliwa kimkakati na wazungu kuhakikisha hatusongi mbele bali tuzunguke mle mle kwenye duara la umaskini

Wanaume Afrika ukiacha Mugabe namba mbil ni sisi, Ukitaka ushoga uje kwnza tukuoe
 
Kama uwezo wako wa akili na kufikiri ndiyo umegotea / umekomea hapa kwa haya ' uliyoyatapika ' kama siyo ' kuyaharisha ' hapa acha tu Watanzania tuendelee kuwa ' Wapumbavu ' na ' Masikini ' wa Kutukuka.
 
hoja hujibiwa kwa hoja nadhani umenielewa nlichokiharisha ni ubishi tu na aibu
 
chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,373
2,000
Well, nimejaribu tu kuwaza endapo mzee baba Trump ataamua kuizungumzia Tanzania je ataongea nini?! Majibu yako yanamaanisha Trump hawezi kuiongelea Tanzania kwavile ni shithole? Wakati Obama aliwahi kuja Tanzania.na kama yupo busy na world class issues hao wengine waliotia neno hawapo busy?
Trump anadili na world-class issues sio mambo ya shithole Mkuu.
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,138
2,000
Kwa ninavyowajua Wazungu ukiona tu wanaanza Kukutilia mashaka jua ya kwamba kuna mahala umekosea au unakosea mno na kwamba siku si nyingi wanaweza wakakuacha ili upambane mwenyewe na kwa ninavyojua hatuna ' ubavu ' wa Kijitawala wenyewe bila ' misaada ' ya Wazungu.

Kuna Mtu mmoja mpaka sasa hivi najiuliza anatumia ' Kizizi ' gani ambacho kinamfanya ' Bosi ' wake Taifa ' asimtumbue ' hapo alipo kwani siyo ' Siri ' tena kama kuna Mtu ambaye ameshaigharimu na anaendelea kuigharimu nchi hii ' dearly ' ni huyo huyo na nasikitika hadi sasa hivi bado ' anapuyanga ' tu na naambiwa hata juzi au jana alionekana Mkoa wa Jirani tu hapa usio wa Bahari ila una Bwawa Kubwa mno la Mindu.

Kwahiyo mnataka kusema kuwa Europena Union, World Bank, Denmark na Sweden wote hawa ni ' Mapopoma ' na wamekurupuka tu katika kusema yale yaliyomo ' mioyoni ' mwao na yanayowasibu? Namalizia kwa kusema ' Wazungu ' huwa hawakosei na hawabahatishi na kuna uwezekano mkubwa kuwa huu ni mwanzo tu ila kuna mahala ambapo ' watatuweza ' na ndipo mtatuheshimu Watu ambao kila mara tunadiriki kutumia mida yetu kwa nia njema tu wenye msukumo wa Kizalendo ' Kuwashaurini ' ila mnatudharau lakini mnawaamini ' Wanafiki ' mlio nao jirani ambao Kimsingi ndiyo wanawapelekeni ' chaka mbaya ' kabisa.

Yangu macho tu ila tujitafakari kwani bado hatujachelewa!

Nawasilisha.
Mwaafrika anaeamini hatuwezi kujitawala wenyewe kwangu ni Mpmbvu na hana tofauti na mnyama wa kufugwa tu.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,000
2,000
Mwaafrika anaeamini hatuwezi kujitawala wenyewe kwangu ni Mpmbvu na hana tofauti na mnyama wa kufugwa tu.

Kama tokea 1961 hadi leo umeshindwa ' Kujitawala ' na bado unatembeza ' Bakuli ' je, aliye ' Mpumbavu / Popoma ' kati yangu ninayesema kuwa tumeshindwa Kujitawala na Wewe unayetetea kuwa tunajiweza ni nani? Nasubiri jibu lako kwa hamu zote ili leo niweze Kujua ' IQ ' yako ni ya Kiwango gani.
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,473
2,000
wanaowaza kwa makalio tu ndio wanaweza kuamini kwamba hatuna uwezo wa kujitawala

kwani marekani na uchina zimefika hapo zilipo sasa kwa kutegemea misaada?

Ifike mahali hata historia ya form two itusaidie kutambua kwamba hizo wanazoziita structural readjustment programs ambazo ni pamoja na hiyo misaada ya kuilemaza afrika, viliandaliwa kimkakati na wazungu kuhakikisha hatusongi mbele bali tuzunguke mle mle kwenye duara la umaskini

Wanaume Afrika ukiacha Mugabe namba mbil ni sisi, Ukitaka ushoga uje kwnza tukuoe
Duh
Umemtwanga la uso walahi
TKO walahi
Fyeeekelea mbali walahi
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,138
2,000
Kama tokea 1961 hadi leo umeshindwa ' Kujitawala ' na bado unatembeza ' Bakuli ' je, aliye ' Mpumbavu / Popoma ' kati yangu ninayesema kuwa tumeshindwa Kujitawala na Wewe unayetetea kuwa tunajiweza ni nani? Nasubiri jibu lako kwa hamu zote ili leo niweze Kujua ' IQ ' yako ni ya Kiwango gani.
Makosa ya viongozi wetu kuendesha Nchi kwa misaada haibidilishi msimamo wangu tunaweza kujitawala na mimi ni mtu huru. Kama unaamini kuna binadamu pande Fulani za hii dunia akikutawala atakubadilisha maisha yako kwasababu ana upeo mkubwa kuliko wewe basi hongera for the slave mentality.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom