Mabus yanayoingia nchini hayakidhi viwango?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,307
Reaction score
40,941
Niende moja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Mabus ya abiria kuungua moto na kuteketea kabisa yakiwa safari na sababu kubwa utasikia ni hitilafu ya Umeme.

Leo tena kwenye vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuungua kwa bus la Sharon (Pichani) linalofanya safari zake Arusha -Kondoa.Binafsi naona hizi gari kama si kuingia nchini zikiwa hazina viwango,Inawezekana pia wamiliki wa magari hawafanyi services magari yao mara kwa mara.Luungua kwa mabus kumekuwa kukiwaingizia hasara kubwa sana watu wanaosafirisha mizigo yao kupitia mabus.

Mamlaka husika ilichunguze hili swala, maana linazidi kuota mizizi.
IMG-20181119-WA0012.jpg
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Mabus ya abiria kuungua moto na kuteketea kabisa yakiwa safari na sababu kubwa utasikia ni hitilafu ya Umeme.

Leo tena kwenye vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuungua kwa bus la Sharon (Pichani) linalofanya safari zake Arusha -Kondoa.Binafsi naona hizi gari kama si kuingia nchini zikiwa hazina viwango,Inawezekana pia wamiliki wa magari hawafanyi services magari yao mara kwa mara.Luungua kwa mabus kumekuwa kukiwaingizia hasara kubwa sana watu wanaosafirisha mizigo yao kupitia mabus.

Mamlaka husika ilichunguze hili swala, maana linazidi kuota mizizi.View attachment 939346

Mkuu si mabasi tu. Mbona hata malori pia?

Ila pana mambo common kwa haya yaliyokuwa na haka ka proneness ka kuungua:

yana kuwa yametengenezwa China na pia bei yake yasemekana kuwa ni poa sana.
 
Yeah nikweli mkuu
 
Ila umekosea kuandika, huwezi kuandika kwa Kiswahili, ukandika Mabusi, ni Mabasi.
 
Back
Top Bottom